Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameeeeeen🙏Basi una tatizo mahali katika saikolojia yako!
Ungelijua thamani aipatayo mzee anayejaliwa maisha marefu kuliko mtu anayekufa kijana wala usingelithubutu kuandika mawazo yako hayo.
Watu wengi wanadanja chini ya umri wa 60 wakiwa katika harakati za ku sattle maisha yao kabla hawajajiandaa kiroho.
Sasa wewe mfano Mungu akupe 70, 80 huko hujajiandaaga tu na safari isiyo isiyo na mwisho?
Kukaa mpaka ukauona uzee wako kwenye dunia hii iliyojaa changamoto lukuki za kimaisha ni zawadi na thawabu.
Hayo ya kusema makunyazi, magonjwa hayajawa sababu ya kuuchukia uzee kwa sababu kwani ni vijana wangapi wanaoishi kwa afya zenye migogoro bila kuonja wala kufurahia maisha yao?
Omba Mungu akuhifadhi na uishi kwa heri kadri alivyokupangia.
Jiwekee kinga za kiuchumi kukufanya uishi maisha yenye staha mpaka mwisho wa maisha ya duniani na siyo lazima utajirike.
Maneno huumba, nakushauri tengua kauli yako hii ya kufuru.
Mungu asije kukuchukua kibabe ghafla hata mabarabarani huko ukaacha wanao bila maandalizi yoyote.
😂😂Tafuta pesa mkuu,,
Hakuna Mzee anayekataliwa na wasichana ukiwa na pesa.
Naomba tuje tuzeeke wote mamyKila jambo na wakati wake
Ninae wa kuzeeka nae mkuuNaomba tuje tuzeeke wote mamy