Nawaza sana Uzee wangu utakuwa wa namna gani

Iwapo nitakuwa hai nata ninvyofika uzeeni niwe nimezifikia level za juu za uchawi
 
Ameeeeeen🙏
 
Sisi ambao tayari tupo na 50 tushaanza kuona madhara ya uzee. Totoz kali zinapita mbele yako inakutwanga shikamoo inapita inakutikisia. Dah unaangalia kwa macho tu.
 
Wekeza vitu ambavyo vitakuingizia hela ukizeeka, mm nimechagua real estate. Naje ga mdogo mdogo angalau niwe na nyumba 10 nikifikishaa miaka 50 ama 55
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…