Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Wasssalaaaaaaam wazeeee!!!!
Katika maisha yangu yote mpaka nimefika umri huu sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba ambao aliefariki ni albino.
Kuna maalbino kadhaa mitaani nimeishi nao, nimefanya nao kazi , mpaka wengine nimesoma nao kabisa lakini unakuta gafla tu bin vuu mchizi haonekani.
Na ukiuliza kwa wadau na wenyewe unakuta ni kama wewe ndo umewasanua hivi… wanaanza kugeukiana… aiseee kweli hivi yule jamaa aliendaga wapi? Unasikua tu aaah nilisikia yuko kwa shangazi yake mara sijui huku mara huku mwisho wa siku Inabaki hakuna mwenye jibu hapo.
Nikaona ngoja nishirikishe kuwauliza watu kadhaa kwamba ebwanaee hivi umeshawahi kusikia albino kafariki? Au nyumba ile kuna msiba na aliekufa ni albino? Kila mtu inakuwa kama ndo nimemsanua vile vile naye anasema aisee kweli bwana sijawahi kuona hata mara moja wala kujua ni nini kinatokea, tena ninaowauliza wengine ni wakubwa kabisa hata kwangu ila wanasema hawajawahi kuona kitu kama hicho.
Kuna kuna mzee mmoja pia niliwahi kumuuliza… yeye akajaribu kuniambia kuwa hawa viumbe huwa wanapoteaga kimazingara ndiyo maana unakuta ghafla tu mtu haonekani, na hakuna yeyote mwenye taarifa kamili kumhusu.
Kingine pia sijawahi kuona albino mzee yaani kazeeka ule umri wa kuitwa babu. Inamaana hawa viumbe hawazeeki??
Eti wazee je nyie mmewahi kuyashuhudia haya katika jamii zenu au ni mimi tu ndiyo naishi katika dunia ya peke yangu mpaka kupelekea kutukuyaona yote hayo?
Ama kweli dunia ina mambo.