Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Ngoja nianze kuwazingatia ... Sio bure wawe vilewamasai huwa wanaua albino akizaliwaa kwenye koo zaoo... ila hili la kuwa na visauti vya kike sijui tatizo nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nianze kuwazingatia ... Sio bure wawe vilewamasai huwa wanaua albino akizaliwaa kwenye koo zaoo... ila hili la kuwa na visauti vya kike sijui tatizo nini
Subiri manara akizeekaWasssalaaaaaaam wazeeee!!!!
Katika maisha yangu yote mpaka nimefika umri huu sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba ambao aliefariki ni albino.
Kuna maalbino kadhaa mitaani nimeishi nao, nimefanya nao kazi , mpaka wengine nimesoma nao kabisa lakini unakuta gafla tu bin vuu mchizi haonekani.
Na ukiuliza kwa wadau na wenyewe unakuta ni kama wewe ndo umewasanua hivi… wanaanza kugeukiana… aiseee kweli hivi yule jamaa aliendaga wapi? Unasikua tu aaah nilisikia yuko kwa shangazi yake mara sijui huku mara huku mwisho wa siku Inabaki hakuna mwenye jibu hapo.
Nikaona ngoja nishirikishe kuwauliza watu kadhaa kwamba ebwanaee hivi umeshawahi kusikia albino kafariki? Au nyumba ile kuna msiba na aliekufa ni albino? Kila mtu inakuwa kama ndo nimemsanua vile vile naye anasema aisee kweli bwana sijawahi kuona hata mara moja wala kujua ni nini kinatokea, tena ninaowauliza wengine ni wakubwa kabisa hata kwangu ila wanasema hawajawahi kuona kitu kama hicho.
Kuna kuna mzee mmoja pia niliwahi kumuuliza… yeye akajaribu kuniambia kuwa hawa viumbe huwa wanapoteaga kimazingara ndiyo maana unakuta ghafla tu mtu haonekani, na hakuna yeyote mwenye taarifa kamili kumhusu.
Kingine pia sijawahi kuona albino mzee yaani kazeeka ule umri wa kuitwa babu. Inamaana hawa viumbe hawazeeki??
Eti wazee je nyie mmewahi kuyashuhudia haya katika jamii zenu au ni mimi tu ndiyo naishi katika dunia ya peke yangu mpaka kupelekea kutukuyaona yote hayo?
Ama kweli dunia ina mambo.
Kutoka na imani potofu kuhusiana na utajiri unaopatikana kwenye viungo vya Albino, basi misiba yao hufanywa siri na uzikwa kwa kificho. Lengo ni kuepukana na mwili au viongo kufukuliwa na watu wenye nia ovu.
Taarifa hii niliipata Bukombe mkoani Geita.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wewe jamaa fala sana,sasa ukitangulia kufa wewe kabla ya manara jeSubiri manara akizeeka
Ndio hata mdogo wangu alipoteaga tulipoenda kwa sangoma akasema kafariki kwahiyo haonekaniNilisikia kwa watu eti wanapotea...
Uongo mkuu, ila wanakufa kama wewe unavyokufa na wanazikwa vizuri tu…Wasssalaaaaaaam wazeeee!!!!
Katika maisha yangu yote mpaka nimefika umri huu sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba ambao aliefariki ni albino.
Kuna maalbino kadhaa mitaani nimeishi nao, nimefanya nao kazi , mpaka wengine nimesoma nao kabisa lakini unakuta gafla tu bin vuu mchizi haonekani.
Na ukiuliza kwa wadau na wenyewe unakuta ni kama wewe ndo umewasanua hivi… wanaanza kugeukiana… aiseee kweli hivi yule jamaa aliendaga wapi? Unasikua tu aaah nilisikia yuko kwa shangazi yake mara sijui huku mara huku mwisho wa siku Inabaki hakuna mwenye jibu hapo.
Nikaona ngoja nishirikishe kuwauliza watu kadhaa kwamba ebwanaee hivi umeshawahi kusikia albino kafariki? Au nyumba ile kuna msiba na aliekufa ni albino? Kila mtu inakuwa kama ndo nimemsanua vile vile naye anasema aisee kweli bwana sijawahi kuona hata mara moja wala kujua ni nini kinatokea, tena ninaowauliza wengine ni wakubwa kabisa hata kwangu ila wanasema hawajawahi kuona kitu kama hicho.
Kuna kuna mzee mmoja pia niliwahi kumuuliza… yeye akajaribu kuniambia kuwa hawa viumbe huwa wanapoteaga kimazingara ndiyo maana unakuta ghafla tu mtu haonekani, na hakuna yeyote mwenye taarifa kamili kumhusu.
Kingine pia sijawahi kuona albino mzee yaani kazeeka ule umri wa kuitwa babu. Inamaana hawa viumbe hawazeeki??
Eti wazee je nyie mmewahi kuyashuhudia haya katika jamii zenu au ni mimi tu ndiyo naishi katika dunia ya peke yangu mpaka kupelekea kutukuyaona yote hayo?
Ama kweli dunia ina mambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eet wanakufa kama wewe unavyokufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo jamaa huwa anakufaga na kurudi?Uongo mkuu, ila wanakufa kama wewe unavyokufa na wanazikwa vizuri tu…
Kama hujabahatika ni wewe, acha upotoshaji
Ila hapa ameandika kuhusu, albino Binadamu, jibu ni kudhinitisha kuwa umehudhuria mazishi ya albino, uliekua unamjua, ama alikuepo albino uliekua unamjua alikufa na kuzimwa kwenye makaburi fulani.Halafu tambua kua Abino sio kwa Binadamu tu,hata kwa Wanyama wapo Albino pia.
Haya mambo ya viongo vya albino, kuwa nini, yameibuka miaka ya 2000 kabla haikuwepo, na Albino walikuwepo.Kutoka na imani potofu kuhusiana na utajiri unaopatikana kwenye viungo vya Albino, basi misiba yao hufanywa siri na uzikwa kwa kificho. Lengo ni kuepukana na mwili au viongo kufukuliwa na watu wenye nia ovu.
Taarifa hii niliipata Bukombe mkoani Geita.
mkuu wewe ndio umeijua miaka ya 2000, mchongo wa viungo vya albino upo toka zama.Haya mambo ya viongo vya albino, kuwa nini, yameibuka miaka ya 2000 kabla haikuwepo, na Albino walikuwepo.
Wamasai wanakufa sema hawaweki matanga nasikia maana wanakimbia maiti.Au msiba wa masai sijawahi kuuona