Nawaza; Sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba wa Albino

Nawaza; Sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba wa Albino

Ila hapa ameandika kuhusu, albino Binadamu, jibu ni kudhinitisha kuwa umehudhuria mazishi ya albino, uliekua unamjua, ama alikuepo albino uliekua unamjua alikufa na kuzimwa kwenye makaburi fulani.
Kushuhudia au kutokushuhudia but ukweli unabaki pale pale kua Albino ni binadamu wa kawaida tu kama wewe.
 
Back
Top Bottom