Nawaza; Sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba wa Albino

Wale waliokuwa wanauawa na wagombea wa chama chetu ili kuwini uchaguzi je hukushuhudia misiba yao!
 
Subiri manara akizeeka
 
Mimi sijawahi kuona msiba wa maasai
 
Wanakufa kama binadamu wengine . Yupo Ustaadhi mmoja alikuwa mwalimu wa madrasa mabatini Mwanza alifariki na kuzikwa makaburi ya waislamu Mlango Mmoja ,huyu albino nilikuwa namfahamu vizuri hadi kwao.Hayo mambo ya kupotea ni story za vijiweni tu
 

Upo sahihi!
 
Uongo mkuu, ila wanakufa kama wewe unavyokufa na wanazikwa vizuri tu…

Kama hujabahatika ni wewe, acha upotoshaji
 
Hapo kwenye kuzeeka wapo nishawahi waona ila kwenye kufa hakika hata mimi sijawahi sikia ni kama vile wamasai kama kuna ambaye ameshawahi kuhudhulia msiba wa mmasai kafa atujuze
 
Uongo mkuu, ila wanakufa kama wewe unavyokufa na wanazikwa vizuri tu…

Kama hujabahatika ni wewe, acha upotoshaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eet wanakufa kama wewe unavyokufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo jamaa huwa anakufaga na kurudi?
 
Itakuwa kupotea ndo kuibwa na watu wenye nia mbovu, sio kupotea kama kupigwa na Anti-matter bomb
Kuhusu visa vya kuuliwa tumeanza kusikia ckuizi baada ya digitari na kuongezeka kwa watu na mapori kupungua
Ko uko kupotea kulikuwa kunasababishwa na watu wenye nia ovu
 
Halafu tambua kua Abino sio kwa Binadamu tu,hata kwa Wanyama wapo Albino pia.
Ila hapa ameandika kuhusu, albino Binadamu, jibu ni kudhinitisha kuwa umehudhuria mazishi ya albino, uliekua unamjua, ama alikuepo albino uliekua unamjua alikufa na kuzimwa kwenye makaburi fulani.
 
Haya mambo ya viongo vya albino, kuwa nini, yameibuka miaka ya 2000 kabla haikuwepo, na Albino walikuwepo.
 
Na akifa akizikwa usiku watu wanaenda kufukua kaburi.
 
Wanakufa kama wengine wananavyokufa ...nimehudhuria msiba wa albino alikuwa mwalimu tukazika ....lakini kesho yake kaburi likafukuliwa watu wakaondoka na viungo vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…