Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Vingamuzi tu vinarudisha hela yake. Ukiangalia matangazo ya Azam 90% ni ya kwakeAcha utani aisee bila Matangazo na Udhamini mwengine Azam hawezi rudisha hela yake kwa kutumia Vifurushi, Bilioni 250, makamera, wafanyakazi etc ni hela nyingi mno.