Nawaza tu, kama mwenye haki ya matangazo angekua DSTV!

Nawaza tu, kama mwenye haki ya matangazo angekua DSTV!

Wewe unaejua kashitaki, komandoo wa utopolo hamna akili ujinga wenu ndo umeleta yote haya
Hasara ya taifa mteja na bidhaa ya Mangungu bado mtaendelea kutumikia viongozi vilaza kwa hisia za ushabiki kenge wa nyika nyie. Amkeni
 
Bado tuu unaendeleza ligi 😂

Endelea kukaza hvy hvy 🙌
Nimeamua kukupotezea wewe kwa sababu huna hoja. Huyo nimemjibu kulingana na alivyo kuja, kwa level yangu kitaaluma sina haja ya kuweka ligi nitakuelewesha ukikaza fuvu basi nakuacha.
 
Wote tungekua na akili nani angeishabikia simba? Hamna akili nyie mashabiki wa simba kifurahia uongozi wenu kugomea kupeleka timu kwa sababu za kitoto kabisa. Mmewatia watu hasara bado mnakenua meno hapa
Eti akili,mnamiliki makomando wasaka mbuzi na kuku akili mtoe wapi wakuu.Watu na akili zenu mnazuia basi eti Lina mbuzi na wazee wafupi.MAKOMANDOO KWANI NINYI NI JESHI.mwaka huu tutavuka nguo wote.
 
Eti akili,mnamiliki makomando wasaka mbuzi na kuku akili mtoe wapi wakuu.Watu na akili zenu mnazuia basi eti Lina mbuzi na wazee wafupi.MAKOMANDOO KWANI NINYI NI JESHI.mwaka huu tutavuka nguo wote.
Mnavuka nguo na nani nyie wakimbia mechi?
 
Acha utani aisee bila Matangazo na Udhamini mwengine Azam hawezi rudisha hela yake kwa kutumia Vifurushi, Bilioni 250, makamera, wafanyakazi etc ni hela nyingi mno.
Hayo Makamera ameyanunua kwaajili ya derby au ameyakodi?
 
Taarifa ilishatolewa mapema, wote wanajua tarehe 8 hakuna mechi. Ni waTanzania tu ndiyo hawakupewa taarifa.- Mdau kutoka PM
 
Sasa yeye Azam ana hasara Gani wakati ameshauza vifurushi Tena kwa bei kubwa kwa watanzania wenzake. Waliopata hasara hapo ni wananchi walionunua vifurushi na wengine kusafiri kutoka mbali kuja kuona mechi hiyo.
Ona huyu.
 
Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender.

Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.
Tff wanatakiwa kumlipa Azam na pia kuwa lipa Yanga ,
 
Kama Hujui kinachoengelewa bora tu unyamaze, comment inaongelea cost za kuonesha mpira vs Bei ya vifurushi.
Huyo aliyesema azam wamepata hasara ya Camera wamenunua kwa gharama ndio nilikuwa namjibu kuwa azam hakununua hizo Camera kwaajili ya mechi ya juzi tu kwahiyo huwezi kusema wamepata hiyo hasara
Hasara pekee kubwa waliyopata azam ni kufikisha magari yao ya matangazo taifa na kuondoka bila mchezo kufanyika
 
Hoja Toka mwanzo ni kwamba wadhamini inabidi warudishiwe hela zao, mtu a kasema Wana rudisha hela kwenye vifurushi tu, mimi nikatoa comment kwamba vifurushi havitoshi kurudi Sha hizo Gharama za Camera, Bilioni zaidi ya 200 kulipa timu etc inabidi kuwe na extra income kama hao wadhamini. So unahisi hizo Camera AZam atatoa wapi hela ya kuzinunulia?
 
Back
Top Bottom