Mkuu mbona umefika mbali sana.We mpumbavu tu
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau
WAKITOBOA HAPO NITAAMINI KUWA WAO NI TIMU BORA AFRICA.. HUKO HAKUNA MAMBO YA ILE MICHONGO YA KUGAWA PESA KWA WAAMUZI NA TIMU PINZANI BILA KUSAHAU VUMBA ZA USHIRIKINA KAMA WANAVYOFANYAGA WAKIWA BONGO, NAWAKUMBUSHA WASISAHAU NA ZILE SINDANO WANAZOCHOMAGA WACHEZAJI WANAOWATEGEMEA ILI KUONGEZA NGUVU KIPINDI CHA PILI. TUKUTANE CAF!!Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Inashangaza sana,hata sijamkera popote zaidi ya mambo ya mpira.Mkuu mbona umefika mbali sana.
Upinzani wa timu usitufanye tukaharibu utu na ustaarabu wetu.
Kama mchizi alikukera ni vyema ungemchana tu..
Tuendelee kudumisha utani pasipo kuvunjiana heshima.
Ni mtazamo tu.
AiseeeUnaonaje uweke tako kabisa ili wakufumue
Sema mume wakoMume wa timu zote Africa Fiston Kalala Mayele
Uchambuzi makiniMimi sio mshabiki wa Yanga, lakini napenda kusema ukweli. Yanga ya sasa hivi ni bora kuliko timu yoyote ya Tanzania. Hata Simba kwa sasa hatuna viwango vya ubora wa Yanga. Sababu za msingi ni hizi:
1. Kwa aina ya kocha waliyenaye sasa Yanga, uwezo wake (kumsoma adui ndani ya mechi na kuibadili timu kucheza ndani ya mechi), hicho ndio kiwango cha kucheza mechi za kimataifa.
2. Ubora wa wachezaji kama Fiston Mayele katika kufunga, Aziz Ki katika kugawa mipira na Feitoto katika kusukuma timu kushambulia, Yanga wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika. Narudia tena, Yanga ya sasa wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika.
Kiwango cha uchezaji wa kiushindani kinachoonyeshwa sasa na Yanga, bila ushabiki ninapenda kusema wazi, ni kiwango tunachokiona kwa timu za hatua ya robo fainali. Sio mtoano wala makundi kunakoweza kumsimamisha Yanga, labda hatua ya robo fainali. Al hilal sio timu tishio kwa Yanga, sijaona kitu kipya au kitu cha ajabu.
Kwani Simba mjakojozwa na Mayele?Sema mume wako
ahahahaAh mkuu mi nataka wavuke
Kama mtani wao mm nataka wavuke
Wakishaingia makundi ndo safi
Pale ukifungwa hutoki baada ya mechi mbili
Wanajipakulia weeeeeee sisi tunaenjoy wanajipakulia weeee sisi tunaenjoy bar kuangalia uto
Mpaka mechi zote za makundi zikiisha watu tumeneemeka vya kutosha
Dah kumbe utopolo wanatumia dawa za kuongeza nguvuYN
WAKITOBOA HAPO NITAAMINI KUWA WAO NI TIMU BORA AFRICA.. HUKO HAKUNA MAMBO YA ILE MICHONGO YA KUGAWA PESA KWA WAAMUZI NA TIMU PINZANI BILA KUSAHAU VUMBA ZA USHIRIKINA KAMA WANAVYOFANYAGA WAKIWA BONGO, NAWAKUMBUSHA WASISAHAU NA ZILE SINDANO WANAZOCHOMAGA WACHEZAJI WANAOWATEGEMEA ILI KUONGEZA NGUVU KIPINDI CHA PILI. TUKUTANE CAF!!
Tuwekee uthibitishobwa haya madaiYN
WAKITOBOA HAPO NITAAMINI KUWA WAO NI TIMU BORA AFRICA.. HUKO HAKUNA MAMBO YA ILE MICHONGO YA KUGAWA PESA KWA WAAMUZI NA TIMU PINZANI BILA KUSAHAU VUMBA ZA USHIRIKINA KAMA WANAVYOFANYAGA WAKIWA BONGO, NAWAKUMBUSHA WASISAHAU NA ZILE SINDANO WANAZOCHOMAGA WACHEZAJI WANAOWATEGEMEA ILI KUONGEZA NGUVU KIPINDI CHA PILI. TUKUTANE CAF!!
Unaijua Al hilal kweli kama kibonde vipers alikubamiza 2 Al hilal si atakupiga 3mara 2Mimi sio mshabiki wa Yanga, lakini napenda kusema ukweli. Yanga ya sasa hivi ni bora kuliko timu yoyote ya Tanzania. Hata Simba kwa sasa hatuna viwango vya ubora wa Yanga. Sababu za msingi ni hizi:
1. Kwa aina ya kocha waliyenaye sasa Yanga, uwezo wake (kumsoma adui ndani ya mechi na kuibadili timu kucheza ndani ya mechi), hicho ndio kiwango cha kucheza mechi za kimataifa.
2. Ubora wa wachezaji kama Fiston Mayele katika kufunga, Aziz Ki katika kugawa mipira na Feitoto katika kusukuma timu kushambulia, Yanga wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika. Narudia tena, Yanga ya sasa wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika.
Kiwango cha uchezaji wa kiushindani kinachoonyeshwa sasa na Yanga, bila ushabiki ninapenda kusema wazi, ni kiwango tunachokiona kwa timu za hatua ya robo fainali. Sio mtoano wala makundi kunakoweza kumsimamisha Yanga, labda hatua ya robo fainali. Al hilal sio timu tishio kwa Yanga, sijaona kitu kipya au kitu cha ajabu.
Kwa Hiyo Simba Ina MafanikioUtopolo wameyachukua mafanikio ya simba wameyavaa wao
wakati wao ni mbwa wa chini
hahahah
Hakuna hata mtu mmoja ashawahi leta ushahidi wa haya unayooandika maana kila siku yanaandikwaYN
WAKITOBOA HAPO NITAAMINI KUWA WAO NI TIMU BORA AFRICA.. HUKO HAKUNA MAMBO YA ILE MICHONGO YA KUGAWA PESA KWA WAAMUZI NA TIMU PINZANI BILA KUSAHAU VUMBA ZA USHIRIKINA KAMA WANAVYOFANYAGA WAKIWA BONGO, NAWAKUMBUSHA WASISAHAU NA ZILE SINDANO WANAZOCHOMAGA WACHEZAJI WANAOWATEGEMEA ILI KUONGEZA NGUVU KIPINDI CHA PILI. TUKUTANE CAF!!
Hivi ikitokea Yanga amewafunga hao Al-Hilal mtaweka wapi nyuso zenu?Utopolo wameyachukua mafanikio ya simba wameyavaa wao
wakati wao ni mbwa wa chini
hahahah