Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

YN
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.

View attachment 2361516

Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau

Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.

View attachment 2361516

Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
WAKITOBOA HAPO NITAAMINI KUWA WAO NI TIMU BORA AFRICA.. HUKO HAKUNA MAMBO YA ILE MICHONGO YA KUGAWA PESA KWA WAAMUZI NA TIMU PINZANI BILA KUSAHAU VUMBA ZA USHIRIKINA KAMA WANAVYOFANYAGA WAKIWA BONGO, NAWAKUMBUSHA WASISAHAU NA ZILE SINDANO WANAZOCHOMAGA WACHEZAJI WANAOWATEGEMEA ILI KUONGEZA NGUVU KIPINDI CHA PILI. TUKUTANE CAF!!
 
Tutoke kwenye ushabiki wa hivi, Mimi sio shabiki wa Yanga ila natamani kuziona timu zote tatu za Tanzania zikitinga Groups Stage kwa maslahi mapana ya nchi.

Nimeona umoja wa mashabiki wa Al Hilal natamani na huku tuwe wamoja na sio kuombeana njaa
 
Mimi sio mshabiki wa Yanga, lakini napenda kusema ukweli. Yanga ya sasa hivi ni bora kuliko timu yoyote ya Tanzania. Hata Simba kwa sasa hatuna viwango vya ubora wa Yanga. Sababu za msingi ni hizi:

1. Kwa aina ya kocha waliyenaye sasa Yanga, uwezo wake (kumsoma adui ndani ya mechi na kuibadili timu kucheza ndani ya mechi), hicho ndio kiwango cha kucheza mechi za kimataifa.

2. Ubora wa wachezaji kama Fiston Mayele katika kufunga, Aziz Ki katika kugawa mipira na Feitoto katika kusukuma timu kushambulia, Yanga wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika. Narudia tena, Yanga ya sasa wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika.

Kiwango cha uchezaji wa kiushindani kinachoonyeshwa sasa na Yanga, bila ushabiki ninapenda kusema wazi, ni kiwango tunachokiona kwa timu za hatua ya robo fainali. Sio mtoano wala makundi kunakoweza kumsimamisha Yanga, labda hatua ya robo fainali. Al hilal sio timu tishio kwa Yanga, sijaona kitu kipya au kitu cha ajabu.
 
Uchambuzi makini
 
Ah mkuu mi nataka wavuke
Kama mtani wao mm nataka wavuke

Wakishaingia makundi ndo safi
Pale ukifungwa hutoki baada ya mechi mbili
Wanajipakulia weeeeeee sisi tunaenjoy wanajipakulia weeee sisi tunaenjoy bar kuangalia uto
Mpaka mechi zote za makundi zikiisha watu tumeneemeka vya kutosha
ahahaha

Naunga mkono hoja
 
YN

WAKITOBOA HAPO NITAAMINI KUWA WAO NI TIMU BORA AFRICA.. HUKO HAKUNA MAMBO YA ILE MICHONGO YA KUGAWA PESA KWA WAAMUZI NA TIMU PINZANI BILA KUSAHAU VUMBA ZA USHIRIKINA KAMA WANAVYOFANYAGA WAKIWA BONGO, NAWAKUMBUSHA WASISAHAU NA ZILE SINDANO WANAZOCHOMAGA WACHEZAJI WANAOWATEGEMEA ILI KUONGEZA NGUVU KIPINDI CHA PILI. TUKUTANE CAF!!
Dah kumbe utopolo wanatumia dawa za kuongeza nguvu
 
YN

WAKITOBOA HAPO NITAAMINI KUWA WAO NI TIMU BORA AFRICA.. HUKO HAKUNA MAMBO YA ILE MICHONGO YA KUGAWA PESA KWA WAAMUZI NA TIMU PINZANI BILA KUSAHAU VUMBA ZA USHIRIKINA KAMA WANAVYOFANYAGA WAKIWA BONGO, NAWAKUMBUSHA WASISAHAU NA ZILE SINDANO WANAZOCHOMAGA WACHEZAJI WANAOWATEGEMEA ILI KUONGEZA NGUVU KIPINDI CHA PILI. TUKUTANE CAF!!
Tuwekee uthibitishobwa haya madai
 
Mimi sio mshabiki wa Yanga, lakini napenda kusema ukweli. Yanga ya sasa hivi ni bora kuliko timu yoyote ya Tanzania. Hata Simba kwa sasa hatuna viwango vya ubora wa Yanga. Sababu za msingi ni hizi:

1. Kwa aina ya kocha waliyenaye sasa Yanga, uwezo wake (kumsoma adui ndani ya mechi na kuibadili timu kucheza ndani ya mechi), hicho ndio kiwango cha kucheza mechi za kimataifa.

2. Ubora wa wachezaji kama Fiston Mayele katika kufunga, Aziz Ki katika kugawa mipira na Feitoto katika kusukuma timu kushambulia, Yanga wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika. Narudia tena, Yanga ya sasa wanaweza kuifunga timu yoyote hapa Afrika.

Kiwango cha uchezaji wa kiushindani kinachoonyeshwa sasa na Yanga, bila ushabiki ninapenda kusema wazi, ni kiwango tunachokiona kwa timu za hatua ya robo fainali. Sio mtoano wala makundi kunakoweza kumsimamisha Yanga, labda hatua ya robo fainali. Al hilal sio timu tishio kwa Yanga, sijaona kitu kipya au kitu cha ajabu.
Unaijua Al hilal kweli kama kibonde vipers alikubamiza 2 Al hilal si atakupiga 3mara 2
 
YN

WAKITOBOA HAPO NITAAMINI KUWA WAO NI TIMU BORA AFRICA.. HUKO HAKUNA MAMBO YA ILE MICHONGO YA KUGAWA PESA KWA WAAMUZI NA TIMU PINZANI BILA KUSAHAU VUMBA ZA USHIRIKINA KAMA WANAVYOFANYAGA WAKIWA BONGO, NAWAKUMBUSHA WASISAHAU NA ZILE SINDANO WANAZOCHOMAGA WACHEZAJI WANAOWATEGEMEA ILI KUONGEZA NGUVU KIPINDI CHA PILI. TUKUTANE CAF!!
Hakuna hata mtu mmoja ashawahi leta ushahidi wa haya unayooandika maana kila siku yanaandikwa

Mpira mchezo wa wazi wote tunaona kama ni ubora wa timu unaonekana wazi haina haha ya kutafuta visababu.
 
Back
Top Bottom