Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

Ah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mm nasema waingie tu hapa wakitolewa haraka haraka yatarudi bongo watafocuss na ligi tu

Inatakiwa pressure ijae kwa wote rotation zihusike kwa wote
Umewaza vuzuri sana
Maana kwa mchezo wao wa kukamia kama walivyowakamia wachovu Zalan,wakitolewa mapema watajipangia ratiba nzuri premier.
Mwalimu wao alishaanza kulalamika eti ratiba ngumu kwa yanga,wanajisahaulisha ilivyokuwa ngumu kwa Simba mwaka jana na hawajui ni kawaida ratiba kuwa hivyo.
Mwana kulitaka
 
Timu imepita kwa away goal advantage tena kwa timu ya Ethiopia ila inavyo pambwa wao hawaoni ugumu wanao enda kukutana nao na wa Angola walio shinda away
Hiyo timu ya Ethiopia unaichukulia poa kwa vile ilifungwa na Simba?
Mashabiki wa uto mna hesabu za kiutopolo.Ninyi kumfunga Simba kwa kumloga Zoran afanye sub za kipumbavu msije jiona mna uwezo sana.
 
Weka tigo
 
Wewe jamaa hua tabiri zako ni fake usije niingiza chaka
 
Simbilisi [emoji83]+Al hilal tengeneza kikosi kimoja ila tarehe 8/10 hatoki mtu goli 3 mpaka 4

Simbilisi [emoji83] waambieni marafiki zenu wamekosea njia ila wanapigika vizuri tu
 
Umeandika nyuzi nyingi ambazo hazikufanikiwa, ila nataka nikwambie kuwa this time uzi wako utasimama.
 
Uwanja gani unaochukua Mashabiki 60000??
 
Hao watu wenyewe unao waongelea wamepita kwa goli LA ugenini , wanagekua vizuri wangetia mtu tano au tatu bila sawa , Ila hao Jamaa zako wanafungika vizuri tuu
 
Tutoke kwenye ushabiki wa hivi, Mimi sio shabiki wa Yanga ila natamani kuziona timu zote tatu za Tanzania zikitinga Groups Stage kwa maslahi mapana ya nchi.

Nimeona umoja wa mashabiki wa Al Hilal natamani na huku tuwe wamoja na sio kuombeana njaa
Utopolo ana maslahi gani ya nchi. Wewe utakuwa utopwinyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…