Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
SawaIla Gsm, anawabania yanga, yanga wanafanya vizuri Ila hanawapunja hata mishahara, kambi za ndani tu, angewapa favour sio mbaya, kazi nzuri Ila anawafanyia hovyo, sio Kama wale wenzetu wanaenjoy kwa kweli
Yanga atupigi picha na hela, tunazitumia kimya kimyaIla Gsm, anawabania yanga, yanga wanafanya vizuri Ila hanawapunja hata mishahara, kambi za ndani tu, angewapa favour sio mbaya, kazi nzuri Ila anawafanyia hovyo, sio Kama wale wenzetu wanaenjoy kwa kweli
Wanamdomo sana hawa,unadhani unaweza kuwazuia kupayuka hovyo!Yanga bana, tulien bado ligi mbichi
Kwahyo unaamini kambi yenu ina vifaa bora kuliko azam,mamelodi,man u???skia braza klabu huenda pre season nje ya nchi hasa huko kaskazin ili kutafta hali ya hewa tofauti(baridi)ili kuupa mwili recovery na kuwaweka sawa kisaikolojia sio kila siku kigamboni weeeh mpka watu wananuka samaki...mamelodi wameenda zao australia,azam wameenda tunisia,singida wameenda arusha,man u waliwahi kwenda zao US,nyie hamna hela za kwenda huko.Kambi ya Yanga pale Avic ina vifaa vya kisasa kabisa vya mazoezi na walimu wa kisasa kabisa wa physio tofauti na hotel za uko Uturuki vijijini ambapo kuna timu iliweka kambi.
98% ya michezo yote ambayo Yanga wanategemea matokeo mazuri, basi ujue michezo hiyo itachezwa Tz ( Dar es salaam).. Sasa kwanini upeleke timu nje ya nchi? Hiyo pesa ya kambi nje ya nchi ni kheri ukaboresha maslai kwa wachezaji/ kufanya sajili bora kwenye timu etc...Ila Gsm, anawabania yanga, yanga wanafanya vizuri Ila hanawapunja hata mishahara, kambi za ndani tu, angewapa favour sio mbaya, kazi nzuri Ila anawafanyia hovyo, sio Kama wale wenzetu wanaenjoy kwa kweli
Msi ige vitu ambavyo hamvifahamu, klabu karibia zote za ulaya zinakwenda ma elfu ya kilometa kwenye pre seson kwa ajili ya kibiashara. Makocha wengi wa ulaya hawapendi lakini inawalazimu kwenda kwakua klabu ilishaingia mikataba iyo.Kwahyo unaamini kambi yenu ina vifaa bora kuliko azam,mamelodi,man u???skia braza klabu huenda pre season nje ya nchi hasa huko kaskazin ili kutafta hali ya hewa tofauti(baridi)ili kuupa mwili recovery na kuwaweka sawa kisaikolojia sio kila siku kigamboni weeeh mpka watu wananuka samaki...mamelodi wameenda zao australia,azam wameenda tunisia,singida wameenda arusha,man u waliwahi kwenda zao US,nyie hamna hela za kwenda huko.
Sasa hivi ngao limekuwa Kombe la kujisifu nalo tena?View attachment 2732815
Ni kweli ndyo maana akapta ngao ya jamii Viva Avic
Sasa basi simba pia anaenda kutafuta new fan base,nyie mnajukikana kimbiji tu,mkitoka sana basi congo,jitangazeni nyie acheni ushamba kila siku mpo kigamboni kama wapemba.Msi ige vitu ambavyo hamvifahamu, klabu karibia zote za ulaya zinakwenda ma elfu ya kilometa kwenye pre seson kwa ajili ya kibiashara. Makocha wengi wa ulaya hawapendi lakini inawalazimu kwenda kwakua klabu ilishaingia mikataba iyo.
Uwezi kuweka ratiba ya pre seson Amerika au Asia wakati ligi inachezwa Europe hali ya hewa ni tofauti, kule wanakwenda kutimiza makubaliano ya mikataba ya kucheza mechi kibiashara zaidi.
Timu nyingi uwa zina anza mazoezi wiki mbili mpaka tatu kwenye nchi zao alafu wanakwenda kwenye pre sison.
wachezaji wengi wana rudi kwenye vilabu vyao kabla ya pre seson wakiwa fit tayari kwa kuanza msimu mpya.
Wachezaji wanakua walisha pewa program ya mazoezi watakayo fanya wakati wa likizo.
Acha uongo. Mamelodi alienda Netherlands sio Australia. Unakujua Australia wewe?? Ni Al Ahly ndio wameenda AUSTRIA sio Australia.Kwahyo unaamini kambi yenu ina vifaa bora kuliko azam,mamelodi,man u???skia braza klabu huenda pre season nje ya nchi hasa huko kaskazin ili kutafta hali ya hewa tofauti(baridi)ili kuupa mwili recovery na kuwaweka sawa kisaikolojia sio kila siku kigamboni weeeh mpka watu wananuka samaki...mamelodi wameenda zao australia,azam wameenda tunisia,singida wameenda arusha,man u waliwahi kwenda zao US,nyie hamna hela za kwenda huko.
We ulidhani angejisifu na nini?Sasa hivi ngao limekuwa Kombe la kujisifu nalo tena?
Sahihi kabisa, acha wakariri tuMsi ige vitu ambavyo hamvifahamu, klabu karibia zote za ulaya zinakwenda ma elfu ya kilometa kwenye pre seson kwa ajili ya kibiashara. Makocha wengi wa ulaya hawapendi lakini inawalazimu kwenda kwakua klabu ilishaingia mikataba iyo.
Uwezi kuweka ratiba ya pre seson Amerika au Asia wakati ligi inachezwa Europe hali ya hewa ni tofauti, kule wanakwenda kutimiza makubaliano ya mikataba ya kucheza mechi kibiashara zaidi.
Timu nyingi uwa zina anza mazoezi wiki mbili mpaka tatu kwenye nchi zao alafu wanakwenda kwenye pre sison.
wachezaji wengi wana rudi kwenye vilabu vyao kabla ya pre seson wakiwa fit tayari kwa kuanza msimu mpya.
Wachezaji wanakua walisha pewa program ya mazoezi watakayo fanya wakati wa likizo.