Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

Naweka sawa nini maana ya Dini na Sayansi

Unaniruhusu nimwete Kiranga aje huku mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
mrumi gani aliyeandika biblia?halafu itakua wewe historia ndio ujui kwani unazijua tawala zilizokua na nguvu kabla ya dola ya kirumi kuwa na nguvu? je biblia wakati huo jiulize ilikua imeandikwa au bado nikiwa na maana agano la kale
dola zilizokuwa na nguvu zilikuwa kemet,persia,greece,romans
talmud iliandikwa takribani miaka 1000 BCE
 
u

nakupa andiko usilolizoea kupewa soma malaki 4;5-6
sijaona lolote linalosuggest kitu
Malachi 4:5-6 King James Version (KJV)
5 Behold, I will send you Elijah the prophet before the coming of the great and dreadful day of the Lord:

6 And he shall turn the heart of the fathers to the children, and the heart of the children to their fathers, lest I come and smite the earth with a curse.
 
umeniambia agano la kale linatabiri ujio wa yesu,sasa akina mathayo ni wa agano la kale!!!!
Acha kujifanya uelewi huoni kwamba mathayo anayaandika yale ambayo Yesu alikua anayashuhudia yaliyoandikwa kabla?
 
umeniambia agano la kale linatabiri ujio wa yesu,sasa akina mathayo ni wa agano la kale!!!!
sijaona lolote linalosuggest kitu
Malachi 4:5-6 King James Version (KJV)
5 Behold, I will send you Elijah the prophet before the coming of the great and dreadful day of the Lord:

6 And he shall turn the heart of the fathers to the children, and the heart of the children to their fathers, lest I come and smite the earth with a curse.
kwaio hilo andiko la kwenye malaki umeelewa nini wewe?
 
Mleta Uzi,kama viumbe vyote akiwemo binadamu vilihitaji muumba ili viwepo,maana yake na huyo muumba nae hakujileta tu,aliumbwa.Je,nani alimuumba!?
Katika uzi huu mleta uzi amesema binadamu ni kiumbe yaani physical being. Hajasema popote kuwa Mungu ni kiumbe so hoja kuwa Mungu kaumbwa haisimami hapa kwakuwa Mungu haonekani "hakuna mtu aliyewahi kumuona Mungu wakati wowote"
Sisi tunasoma neno lake na kuliamini na tunaona udhihirisho wake kupitia utimilifu na udhihirisho wa neno lake.
 
dini ni upuuzi,i repeat,dini ni upuuzi
Pengine kweli dini ni upuuzi(kauli ya kujikinai na kiburi cha uzima ulionao kwa kwa muda mfupi huu)
Lakini imani katika Mungu ni injili iletayo wokovu kwa wote waaminio!
Neno la Mungu linasema hivi "Neno la Msalaba ni upuuzi kwa hao waliopotea....)
So hilo neno UPUUZI si geni kabisa na KAMWE HALIJAWAHI KUTIKISA MISINGI YA KUMWAMINI MUNGU ILA HUZIDISHA IDADI YA WAAMINI MUNGU KADIRI LINAVYOSEMWA NA WATU WAPWEKE KAMA WEWE!!
 
nioneshe sehemu iliyoelezea kuja kwa huyo yesu

Isaya 7:14 "kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanaume, naye atamwita jina lake Imanueli"

Isaya 9:6 "maana kwa ajili yenu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume.
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake ; naye ataitwa jina lake Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Pia
Isaya 9:6,
Isaya 53:3-5, 7,9,11,12
 
N
Kwanza nianze na hawa watoto wadogo wanaosema ''mimi siamini katika dini bali naamini katika science''

Dini ni nini?

Dini ni njia ya maisha (way of life). Tunaposema njia ya maisha hapa lazima turudi katika msingi wa uwepo wa mwanadamu hapa duniani na ndio walengwa wa dini (mwanadamu katokea wapi?). Kwanza mwanadamu ni kiumbe, na tunaposema ni kiumbe ni kwasababu uwepo wake ni physically
yaani anaonekana na anashikika (hapa sijamaanisha living thing) mfano ukikuta smartphone jangwani basi ujue hiyo itakuwa imeletwa na mtu au ilipeperushwa na upepo kutoka kwa mtu na kufika hapo ilipofika, kamwe haikujitengeneza yenyewe na kukaa hapo.

Kwa hiyo asli ya mwanadamu kuwa yeye ni kiumbe kilichoumbwa, (hapa hatutaji Mungu) kwakuwa yeye ni kiumbe basi lazima atakuwa ameumbwa na muumba, na lazima muumba atakuwa amemuwekea utaratibu wa kuumbiwa kwake, mfano jamii ya ma engineer wa utengenezaji vifaa vya umeme na umeme, Institute of Electrical and Electronics Engineers (IEEE) wamekubaliana kuwa vifaa vyote vya kiumeme vitakavyoundwa lazima viambatanishwe na vitabu vya maelezo ya kifaa husika (user manual).

Hivyo basi Muumba kamuwekea mwanadamu utaratibu wa kuishi wenye kugusa nyanja zote za maisha, na hapa sasa ndipo linapokuja suala la dini, na hapa sasa ndipo watu wanapovutana kuhusu ni ipi dini sahihi? na dini sahihi lazima iguse nyanja zote za maisha na tunaposema nyanja zote za maisha tuna maanisha elimu na siasa na mengineyo.

Elimu

Hapa kwenye elimu sasa ndio watu wanapomkataa Muumba, na kuikubali science, wamesahau kuwa sayansi ni maarifa tu ambayo Muumba amemtunuku nayo mwanadamu ili yamsaidie katika mazingira yanayomkabili, mfano kama tafiti mbali mbali za kisayansi zilizofanikiwa, na tukiona tafiti ambazo hazikufanikiwa basi ujue upeo wetu wa uwezo umefika mwisho na hapa inatakiwa tuache mara moja, mfano mpaka leo science imeshindwa ku retrieve memory ndani ya ubongo wa mwanadamu aliye hai au mfu.

Kwa hiyo hapa tukubali tu kuwa science sio dini wala haifai kuiona kama ndio mkombozi wa maisha ni bali maarifa tu! ya kielimu ambayo humsaidia mwanadamu kutatua matatizo yake ya kidunia, wanaosema wanaamini sayansi na kukanusha dini asli yake huwa hawana elimu kwanza ya science yenyewe na pia hawana elimu ya dini yenyewe.Na ndio maana science inapanda daraja moja hadi jengine kwa sababu ya hitajio la utatuzi wa kimazingira kwa wanadamu. Tujiulize kwanini miaka ya nyuma teknolojia ilikuwa nyuma ukitofautisha na zama zinazokuja, ukichunguza utakuta kuwa katika kila zama watu walitofautiana maumbile ya kijiografia na kibaiolojia.

Siasa

Ama siasa ni neno la kiarabu lenye maana ya kusimamia watu, na tunaposema siasa hapa ndio kwenye mzizi wenyewe wa maisha na Muumba hakutuacha bila ya kutuwekea njia ya maisha. Tunaposema siasa ndani yake tunakuta vitu kadhaa kama elimu,nidhamu ya utawala (serikali), afya, makazi na mengineyo. Kwa hiyo zipo baadhi ya dini zenye kubeba mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu (siasa) na zipo dini zenye mambo ya kiroho tu peke yake (spiritually) bila kujihusisha na siasa na zipo dini ambazo zimejihusisha na mambo ya kisiasa, na hapa sasa ndipo mahala panapofaa mtu kuangalia ni ipi dini iliyotoka kwa muumba iliyo sahihi.

Sipo hapa kuzungumzia dini ipi ni sahihi bali nazungumzia watu ambao wanaokana dini na kukubali science. Kwa hiyo kuna jamii mbalimbali zilikuja na fact mbali mbali kuhusu Muumba, wapo waliosema mwanadamu akishakufa amekufa hakuna chochote, na wapo wanaosema dini zililetwa na wazungu na waarabu, wapo wanaosema dini zisichanganywe na siasa, na pia wapo wenyekuamini uwepo wa Muumba na yeye anakusudi katika uumbaji wa mwanadamu.


Hivyo basi dini na science vyote hukaa pamoja na wala hakuna sababu ya kuvitenga sababu science ni maarifa ambayo huja kwa wakati maalum na pia inaweza kuondoka kulingana na mazingira lakini dini haiwezi kufutika kwa sababu imebeba nidhamu maalumu ya kimaisha ambayo haiwezi kamwe kufutika.

Kwa wenye akili timamu wataelewa.
NIMEKUELEWA SANA KIONGOZI UZI UNA MAANISHA ULICHOANDIKA
 
Ibada zilikuwepo, tambiko, na manuizo, chini ya miti mikubwa na mapangoni, je, sayansi, inapo hoji, wapi aliko huyo aombwaye, kwa kudadisi, inakosea wapi? Mtu anaye amini anacho kiona na yule anaye amini asicho kiona, nani mwenye akili timamu? Ukizingatia mwenda wazimu anaweza kupiga mayowe akikimbia akisema wananifukaza, na katika uhalisia anao wasema hawaonekani anaonekana yeye tu akikimbia peke yake! Chochote kisicho thibitika katika milango ya fahamu ya mwanadamu, ni batili!
 
Pengine kweli dini ni upuuzi(kauli ya kujikinai na kiburi cha uzima ulionao kwa kwa muda mfupi huu)
Lakini imani katika Mungu ni injili iletayo wokovu kwa wote waaminio!
Neno la Mungu linasema hivi "Neno la Msalaba ni upuuzi kwa hao waliopotea....)
So hilo neno UPUUZI si geni kabisa na KAMWE HALIJAWAHI KUTIKISA MISINGI YA KUMWAMINI MUNGU ILA HUZIDISHA IDADI YA WAAMINI MUNGU KADIRI LINAVYOSEMWA NA WATU WAPWEKE KAMA WEWE!!
ukiona mtu anaamini kuwa nyoka alishawahi kuongea na binadamu basi ujue huyo mtu ana shida kwenye akili yake
 
Isaya 7:14 "kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanaume, naye atamwita jina lake Imanueli"

Isaya 9:6 "maana kwa ajili yenu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume.
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake ; naye ataitwa jina lake Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Pia
Isaya 9:6,
Isaya 53:3-5, 7,9,11,12
kwanza neno "virgin" limtoholewa kutoka neno la kiebrania "almah" na halimaanishi bikra
almah maana yake ni young woman na sio mwanamke ambaye hajawahi kukutana na mwanaume
story ni kwamba kipindi hicho mfalme ahaz alikuwa anahofia taifa lake kuvamiwa na wafalme watatu maadui
"mungu" akamtumia nabii isaya ambaye alimwambia aombe ishara kutoka kwa "mungu"

waandishi wa injili ya mathayo waliikopi kudanganya kuwa isaya alimaanisha kuzaliwa kwa yesu

The Background of the Prophecy
When the kingdom of Judah was threatened by a confederation of enemies from the north, King Ahaz was terrified. God sent the prophet Isaiah to calm the king.

The prophet declared that the evil forces would not prevail. Ahaz was encouraged to “ask for a sign” documenting this word of consolation, but the stubborn king refused.

Isaiah then directed his attention to the “house of David.” He promised a much greater sign, namely “the virgin” would conceive and bear a son, whose name, Immanuel, would signify “God is with us.”

The time-frame that it would take for the Immanuel-child to reach the age of accountability was used as a chronological measurement. Before that time-span would expire, Judah’s current threat would dissipate (which reality came to pass).

More importantly, however, was the fact that a much greater deliverance was needed in Israel, and such would be provided by the actual arrival of Immanuel
 
sijaona lolote linalosuggest kitu
Malachi 4:5-6 King James Version (KJV)
5 Behold, I will send you Elijah the prophet before the coming of the great and dreadful day of the Lord:

6 And he shall turn the heart of the fathers to the children, and the heart of the children to their fathers, lest I come and smite the earth with a curse.
haujanijibu hapa umeelewa nini?
 
Nipo nasubiri majadala utakavyobadilika kuwa wa wakristo na waislam..!..nipo hapa
 
una tatizo jingine la historia
kasome warumi walivyotawala ancient egypt
kasome the council of nacea chaired by emperor constantine of constantinople
kama hujui kuwa warumi ndio walitunga biblia basi jua kuanzia leo
Council of Nicaea
 
Back
Top Bottom