Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Nitafute tusaidianeHabari wana jukwaa wenzangu,
Nimepata fund kutoka kwa ndugu yangu wa karibu na amenitaka nipresent viable business idea and its plan as well.
Nimejaribu kujiongeza kwa kujifunza hali ya kiuchumi na kisiasa tuliyonayo kwa sasa hapa nchini nikajikuta napoteza idea zote.
Tafadhali naombeni mwongozo wenu.
...Nawasilisha...
Electronic money transfer pamoja na vocha za jumla na si rejereja ,akipata site nzuri mwaka mmoja anaendesha Audi q6 ,hizo gesi sijui kusajili laini uchawi tu kwa milion 15.
Nimekupata madam.Kusajili laini sio uchawi ndugu, ukiwa na m pesa tigo pesa n.k kusajili laini usiache mtaji ni mdogo ila faida ni kubwa kwangu mi nafanya zote sifanyi hata serious kivile ila mitandao 3 na uhakika wa kamishenivya 350,000/ kwa mwezi. Hapo M pesa, tgo n.k pembeñi.
Bongo bhana nawe ndo unataka kumpga....Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Nipigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho
Mkuu unachimba, unanunua, au una mashine ya kusagia mawe na kuoshea. Nipe jibu tunaweza fanya kitu.Lete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....
Duh! Akina Bashite ni wengi kumbeKwa iyo unataka kwenye iyo m15 nawe ufaidike? sa si atabidi aje na thredi nyingine ya m10?!!
We nae unaficha nn kutoa idea yako kwa uwazi? Kwann mpka mtu akufuate PM? means we ndo unajua sana?Mkuu we ita tapeli, jambazi, vyovyote ruksa. Lakini siku ukijua ulipoteza nafasi utanielewa
Kampuni gani hii?Weka mtaji wa milion 1 ,uwe unatafuta odds 1.3
Yaan unatafuta mechi tatu kila siku unawapa options ya full time over 0.5 yaan katika mechi goli lifungwe unapata faida ya laki mbili kila siku
Mkuu na mimi nimeipenda hii, naomba muongozo!Lete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....
Nitumie ujumbe 0754803751 tufanye biasharaLete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....
Acheni kudanganyanaNjoo South Africa, upige kazi mwaka moja down the line, you're a multi
Huu mradi unanishawishi kuwekeza. Ninapenda saba ufugaji wa kuku. Baba yangu mzazi nae anafuga kuku wa kienyeji na kizungu. Je ntapata wapi huduma zao hao kuku poa na kama una namba za simu nisaidie. Tupige kazi umasikin utuishe watanzania. Tusaidiane kuinua uchumi wetuKuna biashara ya kuku ambayo inaendelea kwa mjini mwanza ambapo wale jamaa wa *kuku poa* wanakupa vifaranga na chakula cha kuku .yaan mtaji wako wewe inakuwa ni mabanda tu.ila sharti yaweze kuweka zaidi ya kuku 5000, wanapita kukagua mara mbili kwa wik then ikiisha wiki tano wanakuja kuchukua kuku wao na kukulipa 1000 kwa kila kuku,
So kwa pesa uliyonayo unaweza tenga fungu ata ukaweka mabanda ya kubeba kuku 10000. Na baada ya wik tano ukawa na uhakika wa 10000*1000=10,000,000/=
Kwa maelezo zaid fika ofisi za kuku poa pale mwanza