Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa 15m?

Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa 15m?

Habari wana jukwaa wenzangu,

Nimepata fund kutoka kwa ndugu yangu wa karibu na amenitaka nipresent viable business idea and its plan as well.

Nimejaribu kujiongeza kwa kujifunza hali ya kiuchumi na kisiasa tuliyonayo kwa sasa hapa nchini nikajikuta napoteza idea zote.

Tafadhali naombeni mwongozo wenu.

...Nawasilisha...
Nitafute tusaidiane
 
Electronic money transfer pamoja na vocha za jumla na si rejereja ,akipata site nzuri mwaka mmoja anaendesha Audi q6 ,hizo gesi sijui kusajili laini uchawi tu kwa milion 15.

Kusajili laini sio uchawi ndugu, ukiwa na m pesa tigo pesa n.k kusajili laini usiache mtaji ni mdogo ila faida ni kubwa kwangu mi nafanya zote sifanyi hata serious kivile ila mitandao 3 na uhakika wa kamishenivya 350,000/ kwa mwezi. Hapo M pesa, tgo n.k pembeñi.
 
Nimekupata madam.
 
Nafikiri sio lazima utumie zote kwenye start up....anza na biashara ndogo kupata uzoefu then utaongeza mtaji baada ya kuona mtiririko wa faida na changamoto zake
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Nipigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho
Bongo bhana nawe ndo unataka kumpga....
 
Lete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....
Mkuu unachimba, unanunua, au una mashine ya kusagia mawe na kuoshea. Nipe jibu tunaweza fanya kitu.
 
Lete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....
Mkuu na mimi nimeipenda hii, naomba muongozo!
 
Dah.... Kwa akili za chekechea kabisa..... Ipi kazi ngumu zaidi... Kutafuta mtaji au wazo LA biashara? [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Dar inaonekana wengi wetu tuliingia kwenye business tu labda kwa kuigia .kutoa WAZO la biashara in shida.sasa mpeni WAZO WAP akatumie
 
Lete mil.6 tufanye biashara ya dhahabu tutakua tunazungusha faida ya mil 1.5 kila week lakini kwa kuwa mie ntakua nashinda site itabidi niwe nalamba hizo laki tano then wewe unakula mil.1 hiyo ni hesabu ya week.....
Nitumie ujumbe 0754803751 tufanye biashara
 
Kuna biashara ya kuku ambayo inaendelea kwa mjini mwanza ambapo wale jamaa wa *kuku poa* wanakupa vifaranga na chakula cha kuku .yaan mtaji wako wewe inakuwa ni mabanda tu.ila sharti yaweze kuweka zaidi ya kuku 5000, wanapita kukagua mara mbili kwa wik then ikiisha wiki tano wanakuja kuchukua kuku wao na kukulipa 1000 kwa kila kuku,
So kwa pesa uliyonayo unaweza tenga fungu ata ukaweka mabanda ya kubeba kuku 10000. Na baada ya wik tano ukawa na uhakika wa 10000*1000=10,000,000/=
Kwa maelezo zaid fika ofisi za kuku poa pale mwanza
Huu mradi unanishawishi kuwekeza. Ninapenda saba ufugaji wa kuku. Baba yangu mzazi nae anafuga kuku wa kienyeji na kizungu. Je ntapata wapi huduma zao hao kuku poa na kama una namba za simu nisaidie. Tupige kazi umasikin utuishe watanzania. Tusaidiane kuinua uchumi wetu
 
Back
Top Bottom