Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

Jamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume

Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana

Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi kwamba najisikiaga mpk kutapika mpk nina mkwepa kuonana nae

Tangu mara ya kwanza nakutana nae alikuwa hivyohivyo nikafikiri labda sio msafi.. jamani kijana ni msafi sana sana anaoga mara nyingi kushinda mimi kwa siku anapiga mswaki Asubuhi na jioni
Hanuki jasho kabisa ila mdomo jamani

Kiasi kwamba akianza kuongea huwa nakwepesha sura kukwepa harufu ya mdomo wake hata kukiss huwa napata kichefuchefu nikitoka nalamba ndimu na yeye anapenda kulambana lambana inanikata kwakweli

Nataka Dawa ya kumsaidia sitaki kumuacha
Kuna siku nilikwambia achana na huyo mtu ukajifanya mbishi kuniambia uNampendamilele. Komaaa nae
 
Back
Top Bottom