Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Mwambie kama ulivyo tuambia sisiNamna ya kumfanya mpk tufike huko
Mwambie kama ulivyo tuambia sisiNamna ya kumfanya mpk tufike huko
😂😂😂 anapenda saNa inanikera sanaJamaa ana nuka mdomo , zingatia neno ana mlamba lamba 🤔
Unaweza kumnunulia vifaa ambavyo havizoeleki kama tongue scraper na mouthwash nzuri. Mpe kisha anzia hapo mazungumzo, wewe ni mwanamke hope hautokosa namna ya kumshawishi.Ndio nataka namna ya kumshauri nianzie wapi
Unafikiri rahisi hivyo ni kama vile mwanamke anuke K utamwambia kirahisi asijisikie vibayaKama n mtu mliozoeana huwez kukosa namna ya kumwambia
Ulisha wahi husianisha na kunuka kwake mdomo? Je unajua kuna bacteria wazuri kiafya , ila sio salama kwnye kinywa?😂😂😂 anapenda saNa inanikera sana
Mweeee Ngoja nijaribuUnaweza kumnunulia vifaa ambavyo havizoeleki kama tongue scraper na mouthwash nzuri. Mpe kisha anzia hapo mazungumzo, wewe ni mwanamke hope hautokosa namna ya kumshawishi.
Acha nakuambia nampenda kinoma ila mdomo sasa kama choo kimetemaDuh ila wewe mvumilivu🤣🤣🤣
Mimi sijawaza hataUlisha wahi husianisha na kunuka kwake mdomo? Je unajua kuna bacteria wazuri kiafya , ila sio salama kwnye kinywa?
Ninunulie tu, maana jambo dogo kama hilo uje unifungulie thread allooo...🫤Mweeee Ngoja nijaribu
Ampatie tiba, kunyonyana raha 😎Jamaa ana nuka mdomo , zingatia neno ana mlamba lamba 🤔
Kila mtu abaki na starehe yake bwashee 😂Dah bora nile bia tu asee😅
Hajui naona angekuwa anajua angetumia Dawa maana hadi ana Dawa ya mswaki ile ya karafuu ila hamna kituIvi ni ngumu huyo mpenzi wko kugundua ananuka mdomo au na yeye anazuga tu