Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Namna ya kumfanya mpk tufike huko
Mwambie ukweli lakini muonyeshe kuwa uko tayari kulipambania hilo tatizo , ukionyesha kumkimbia na mahusiano yataishia hapo
Namna ya kumfanya mpk tufike huko
Kama nampenda huyo manzi, siwez kukosa namna ya kumwambiaUnafikiri rahisi hivyo ni kama vile mwanamke anuke K utamwambia kirahisi asijisikie vibaya
Ingekuwa rahisi ningeshaweza maana mwaka unaenda huuMwambie kama ulivyo tuambia sisi
Ngoja tuoneMwambie ukweli lakini muonyeshe kuwa uko tayari kulipambania hilo tatizo , ukionyesha kumkimbia na mahusiano yataishia hapo
Mmh it’s hardKama nampenda huyo manzi, siwez kukosa namna ya kumwambia
Utavuruga penzi la watu🤣🤣Mwambie tu.
" Samahani Mpenzi nahisi kama utakuwa na changamoto ya afya ya Kinywa na meno natamani twende hospital tukamuone Dentist" 😊
Au
"Baby naomba twende tukafanye check up ya afya ya Kinywa na meno"
Atakuwa amekumbwa na Bacteria wabaya.
Hujaja kutafuta msaada naona umekuja kumchamba ndugu yetuHajui naona angekuwa anajua angetumia Dawa maana hadi ana Dawa ya mswaki ile ya karafuu ila hamna kitu
Sio salama , je anapata utando mweupe kwenye lips zakeMimi sijawaza hata
Hapana hanaSio salama , je anapata utando mweupe kwenye lips zake
Kumchamba mtu kwa id fake na yeye hayuko huku hii imekaajeHujaja kutafuta msaada naona umekuja kumchamba ndugu yetu
Kumbe wakati wengine tuna kula 🍺 kuna wengine mnakula mengine 😅Kila mtu abaki na starehe yake bwashee 😂
Achana naye la sivyo vumiliaJamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume
Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana
Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi kwamba najisikiaga mpk kutapika mpk nina mkwepa kuonana nae
Tangu mara ya kwanza nakutana nae alikuwa hivyohivyo nikafikiri labda sio msafi.. jamani kijana ni msafi sana sana anaoga mara nyingi kushinda mimi kwa siku anapiga mswaki Asubuhi na jioni
Hanuki jasho kabisa ila mdomo jamani
Kiasi kwamba akianza kuongea huwa nakwepesha sura kukwepa harufu ya mdomo wake hata kukiss huwa napata kichefuchefu nikitoka nalamba ndimu na yeye anapenda kulambana lambana inanikata kwakweli
Nataka Dawa ya kumsaidia sitaki kumuacha
Kuna hii ya kusukutua na maji ya uvuguvugu yaliyotiwa chumvi mara baada ya kumaliza kupiga mswaki kwa utaratibu unaotakiwa(Dakika 2-3).mkasafishe meno yenu
KwakoMmh it’s hard
Angalau ya pili labda na nikifika nikamwambie daktari kwa siri ampime yeye maana duuh nachoka mimiMwambie tu.
" Samahani Mpenzi nahisi kama utakuwa na changamoto ya afya ya Kinywa na meno natamani twende hospital tukamuone Dentist" 😊
Au
"Baby naomba twende tukafanye check up ya afya ya Kinywa na meno"
Atakuwa amekumbwa na Bacteria wabaya.
We hujakutana na mtu ananuka mdomo unatamani kulia halafu awe muongeaji 😭😭Ninunulie tu, maana jambo dogo kama hilo uje unifungulie thread allooo...🫤
Weee na muhusika asikie mmh si atajisikia nimemdhalilishaMwambie umeweka ahadi na daktari wa kinywa mkasafishe meno yenu, mkifika kwa daktari mwambie tatizo na mwenzio akiwa hapo hapo anasikia
MmhMwambie anywe konyogi, hilo shombo linakata fasta
Na kuongea sanaHuwa hawalijui na wanapenda kula kula hovyo
Kumuacha hapanaAchana naye la sivyo vumilia