Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

Inawezekana tatizo sio kinywa ni harufu inayotoka huko ndani ya tumbo.
Asipotibiwa hata awe anapiga mswaki kwa dentist kila sekunde bado ataendelea kutoa harufu
Duuh hivi mimi hawezi kuniambukiza kweli
 
Kuna siku nilikwambia achana na huyo mtu ukajifanya mbishi kuniambia uNampendamilele. Komaaa nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…