Naweza kufanya kitu gani /kutoa huduma gani kibiashara kupitia hivi vitu nilivyo navyo bila kuwa na mtaji?

2.Simu ndogo.
  • Tafuta muuzaji wa mitungi ya gesi, eno jirani na unapoishi.
  • Ongea naye ili uweze kuwafanyia delivery watu jirani na eneo hilo. Mueleze hali halisi, kuwa huna ajira na unahitaji kujishughulisha atakuelewa.

    Yeye muuzaji atakachofanya ni kukutaarifu kila apatapo order ya mtungi wa gesi ambao unatakiwa upelekwe kwenye nyumba fulani hapo jirani (maeneo hayo).

    Delivery kwa mtungi mmoja huwa kati ya 500 hadi 1000 inategemea na sehemu husika, na umbali unapelekwa huo mtungi wa gesi, hii fedha anaweza kukulipa muuzaji wa mitungi ya gesi au yule anaye pelekewa, Inategemea na makubaliano ambayo muuzaji hufanya na mnunuzi kwa swala la delivery.

    Wanunuzi wengi wa gesi majumbani huwa wanapiga simu kuwa waletewe, na ni wachache ambao hufuata wao wenyewe.
 
Shukrani sana kiongozi,wazo lako nimeliandika pembeni.
 
Hellow members,Naweza kufanya kitu gani au kutoa huduma gani kibiashara kwa kutumia vitu hivi nilivyo navyo bila mtaji?
Vitu vyenyewe ni:
1.Smartphone
2.Simu ndogo.

grocery delivery

Kuna watu hawapendi kwenda masokoni kwa mahitaji ya vyakula. Ukiweza kuwatambua na kuanza kuwapa hiyo huduma utapata pesa nzuri
Mchele, nyama, Maharage, nyama karoti vitunguu, samaki etc
 
Nashurukuru kwa maoni yako,nimeliandika pembeni kwa tathmini.
 
Back
Top Bottom