mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 824
Utamaliza dawa zote hizo, Dawa yao ni moja tu kuoa tu!OA kijana hawa wadudu huwakumbusha mabachela kuwa time ya useja imekwisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna wengine hawafi. Nilishuhudua Shule tuliwamwagia maji moto kila week but hawakuisha mpaka walipopuliza dawa.Mwagia maji ya moto kabisa kwenye kitanda na maficho yote ya nyumba, umemaliza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chemsha Kila kitu gheto kuanzia mashuka,sub woofer,godoro,boksa,kitanda nk
Keisha habari yao
Dawa gani mlipulizalia?Mkuu kuna wengine hawafi. Nilishuhudua Shule tuliwamwagia maji moto kila week but hawakuisha mpaka walipopuliza dawa.
Mkuu sijajua ni dawa gani coz Walikuja wale watu wa fumigation.Dawa gani mlipulizalia?
Hawa wadudu wana spidi aiseee.....😂😂😂😂[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1631416
Hawa wadudu ni shidaa... kando ya mbu , kunguni ndo mdudu nisiyempenda hata kumuona , harufu ya damu yake ni ya kufisha .... Wakikuingilia kuwatoa inahtaji kazi ya ziada , usafi wa hali ya juu ndo kitu pekee kinachoweza kukuweka mbali na hawa viumbe , pia ndani usirundike vitu vingi hasa nguo nyingi ambazo zinakaa mda mrefu bila kufuliwa , in short vumbi na mrundikano wa nguo hasa zisizofuliwa na eneo kuwa na mzunguko mdog wa hewa pamoja na joto ni vyanzo vikuu vya kuwepo Kwa kunguniHawana dawa! Wanauwezo wa kuwa living na non living! Wana uwezo wa kukimbia speed kubwa zaidi ya bus la superfeo waenda 230km/h
Wana uwezo wa kunyonya damu bila kung'ata injection!
Kwahiyo dawa ya hao ni kuchoma vyote vilivyomo chumbani halafu upake rangi upwa!
Ni utani au?Hii ndio dawa pekee iliyo nisaidia katika maisha yangu juu ya janga la KUNGUNI.
Unatumia hivi:-
Kila unapotaka kulala unawagia kitandani kote. Hii itapelekea kunguni kukuchukia na kuama taratibu hivyo basi nilichojifunza dawa sio kuwauwa bali ni kuwafanya wakuchukie kisha waame. Ila kinachonishangaza nimechukiwa na kila KUNGUNI yaaani hata nije kulala kwako kwenye mikungini mingi baada ya wiki utakuta imeama yote. Sijjui jasholangu linanuka linanuka hii dawa.
*NB
Harufu inaweza ikawa kero kidogo kwa upande wako ila kwa upande wangu mi ni burudani nimeipenda sana tuu.
*DAWA YENYEWE
-ni sabuni ya unga.
Mkuu nmekuelewa mm pia nmeanza kuona dalili ya kuwepo ndani kwnguu nilipomuona Siku ya kwanza huyu mdudu ndani kwnguuu nilishangaa na kuanza kujiuliza nimewatoa wapiii [emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wadudu ni shidaa... kando ya mbu , kunguni ndo mdudu nisiyempenda hata kumuona , harufu ya damu yake ni ya kufisha .... Wakikuingilia kuwatoa inahtaji kazi ya ziada , usafi wa hali ya juu ndo kitu pekee kinachoweza kukuweka mbali na hawa viumbe , pia ndani usirundike vitu vingi hasa nguo nyingi ambazo zinakaa mda mrefu bila kufuliwa , in short vumbi na mrundikano wa nguo hasa zisizofuliwa na eneo kuwa na mzunguko mdog wa hewa pamoja na joto ni vyanzo vikuu vya kuwepo Kwa kunguni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utamaliza dawa zote hizo, Dawa yao ni moja tu kuoa tu!OA kijana hawa wadudu huwakumbusha mabachela kuwa time ya useja imekwisha.