Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

Mkuu ,pole sana,
Nenda duka la dawa za kilimo na mifugo,
Ninua dawa inaitwa Neuvan ,kichupa kinauzwa elfu sita Hadi saba,
Matatizo yako yataisha kabisa.
 
Twiga force, Chukua iyo Dawa piga kny godolo na maeneo yenye nyufa Dawa ni Kali sana inauwa kwa harufu pia kuguswa nimewahi tumia iyo Mwanza adi Leo hakuna kunguni Dawa zilizobaki ni story tuu iyo twiga force we mwenyewe wakati wa kupiga lazima ujipange vizuli ikiwezekana uvae vifaa vya kujikinga maana nikali sana
 
Hii ndio dawa pekee iliyo nisaidia katika maisha yangu juu ya janga la KUNGUNI.
Unatumia hivi:-
Kila unapotaka kulala unawagia kitandani kote. Hii itapelekea kunguni kukuchukia na kuama taratibu hivyo basi nilichojifunza dawa sio kuwauwa bali ni kuwafanya wakuchukie kisha waame. Ila kinachonishangaza nimechukiwa na kila KUNGUNI yaaani hata nije kulala kwako kwenye mikungini mingi baada ya wiki utakuta imeama yote. Sijjui jasholangu linanuka linanuka hii dawa.
*NB
Harufu inaweza ikawa kero kidogo kwa upande wako ila kwa upande wangu mi ni burudani nimeipenda sana tuu.
*DAWA YENYEWE
-ni sabuni ya unga.
 
Ila hawa kunguni wapo sana kanda ya ziwa. Mpaka kwenye baadhi ya mabasi yaendayo huko wanapatikana.
 
Hawana dawa! Wanauwezo wa kuwa living na non living! Wana uwezo wa kukimbia speed kubwa zaidi ya bus la superfeo waenda 230km/h

Wana uwezo wa kunyonya damu bila kung'ata injection!

Kwahiyo dawa ya hao ni kuchoma vyote vilivyomo chumbani halafu upake rangi upwa!
Hawa wadudu ni shidaa... kando ya mbu , kunguni ndo mdudu nisiyempenda hata kumuona , harufu ya damu yake ni ya kufisha .... Wakikuingilia kuwatoa inahtaji kazi ya ziada , usafi wa hali ya juu ndo kitu pekee kinachoweza kukuweka mbali na hawa viumbe , pia ndani usirundike vitu vingi hasa nguo nyingi ambazo zinakaa mda mrefu bila kufuliwa , in short vumbi na mrundikano wa nguo hasa zisizofuliwa na eneo kuwa na mzunguko mdog wa hewa pamoja na joto ni vyanzo vikuu vya kuwepo Kwa kunguni
 
Hii ndio dawa pekee iliyo nisaidia katika maisha yangu juu ya janga la KUNGUNI.
Unatumia hivi:-
Kila unapotaka kulala unawagia kitandani kote. Hii itapelekea kunguni kukuchukia na kuama taratibu hivyo basi nilichojifunza dawa sio kuwauwa bali ni kuwafanya wakuchukie kisha waame. Ila kinachonishangaza nimechukiwa na kila KUNGUNI yaaani hata nije kulala kwako kwenye mikungini mingi baada ya wiki utakuta imeama yote. Sijjui jasholangu linanuka linanuka hii dawa.
*NB
Harufu inaweza ikawa kero kidogo kwa upande wako ila kwa upande wangu mi ni burudani nimeipenda sana tuu.
*DAWA YENYEWE
-ni sabuni ya unga.
Ni utani au?
 
Hawa wadudu ni shidaa... kando ya mbu , kunguni ndo mdudu nisiyempenda hata kumuona , harufu ya damu yake ni ya kufisha .... Wakikuingilia kuwatoa inahtaji kazi ya ziada , usafi wa hali ya juu ndo kitu pekee kinachoweza kukuweka mbali na hawa viumbe , pia ndani usirundike vitu vingi hasa nguo nyingi ambazo zinakaa mda mrefu bila kufuliwa , in short vumbi na mrundikano wa nguo hasa zisizofuliwa na eneo kuwa na mzunguko mdog wa hewa pamoja na joto ni vyanzo vikuu vya kuwepo Kwa kunguni
Mkuu nmekuelewa mm pia nmeanza kuona dalili ya kuwepo ndani kwnguu nilipomuona Siku ya kwanza huyu mdudu ndani kwnguuu nilishangaa na kuanza kujiuliza nimewatoa wapiii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa nzuri ya kunguni chukua mafuta ya taa changanya sabuni ya unga na chumvi hiyo ni sawa na bomu la nuklia kwa kunguni hutawaona tena mimi nilitumia sikuwaona tena
 
Back
Top Bottom