Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

Dawa ya twiga ni dawa ya kwenye pamba ni kali sana kunguni hawawezi kustahimili, lakini mimi nili experience ikiwapiga hiyo wanakimbilia darini na kwenye taa
 
Hawa wadudu kuna siku niliwafungia kazi, nilitoa vitu vyote nje.
Nikaziacha chaga n akitanda cha chuma nje usiku na mchana tena jua la Septemba lile wakaisoma namba.
Mvua zilivyoanza nikarudisha kila kitu ndani, sahivi mambo ni mwake
 
Uwajui kunguni mkuu, hao hawaishi kitandani tu wanaoccupy Kila sehemu ya nyumba, hata kwenye viatu utawakuta

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hawa wadudu kuna siku niliwafungia kazi, nilitoa vitu vyote nje.
Nikaziacha chaga n akitanda cha chuma nje usiku na mchana tena jua la Septemba lile wakaisoma namba.
Mvua zilivyoanza nikarudisha kila kitu ndani, sahivi mambo ni mwake
Ungepiga hicho kitanda maji ya Moto
 
Back
Top Bottom