Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Huna akili, unaweza ukasafiri na bus ukawabeba kunguni mpaka nyumbani kwako, sasa wakishafika kuwaangamiza kwake siyo mziki wa kitoto.2020 tuna diskas kunguni? Count me out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili, unaweza ukasafiri na bus ukawabeba kunguni mpaka nyumbani kwako, sasa wakishafika kuwaangamiza kwake siyo mziki wa kitoto.2020 tuna diskas kunguni? Count me out
Halafu hutaki kuitaja hiyo dawa wala anakopatikana huyo mama.Nilihangaishwa na hawa wadudu kwa muda mrefu, nilituma kila dawa niliyoelekezwa za kienyeji na za kitaalamu bila mafanikio mpaka nilipokutana na mama mmoja anayeuza dawa ya asili ya kuua kunguni aisee! imebaki historia nililipa Tsh 1000 tu lakini kunguni waliisha Kabisa . Dawa ya huyu mama ni nzuri imeua soko la dawa za madukani mpaka wenye maduka ya kilimo hawampendi huyu mama.
Ingia duka la dawa za Mifugo
ULIZIA DAWA INAITWA DIAZINONE
UPEWE HIO HIO NA SIO VINGINEVYO
kama uko Dar nitafute 0744033555 nikumalizie shughuli kwa elfu 15 tu
Ipi?Hii ndio kiboko
Ipi?
Mkuu mwenye akili.Huna akili, unaweza ukasafiri na bus ukawabeba kunguni mpaka nyumbani kwako, sasa wakishafika kuwaangamiza kwake siyo mziki wa kitoto.
Ukimuhitaji naweza kukinganisha nae.Halafu hutaki kuitaja hiyo dawa wala anakopatikana huyo mama.
Halafu mtu kama huyu kesho anaandika uzi wa nilivuta mtoto gheto nikachakata mbususu mpaka saa nane usiku, halafu nikapitiwa na usingizi mzito hadi asubuhi!Habari wana JamiiForums hope wote mpo poa ndugu yenu nina mabalaa apa ni mwez wa tatu huu cjalala kwa raha nimevamiwa na kungun hata cjui nifanyaje.
Balaa lilianza kama miezi mitatu iliopita nilikuwa nalala kwenye godoro ambalo halina foronya nikavamiwa na kungun nikawa silali vizuri nikaamua kununua foronya km zile za kwenye makoch ya magar ila kubwa enough kwa kufunika godoro hali ikaisha nikawa nalala raha mustarehe sasa sijui imekuwaje.
Kunguni wakajipanga sasa hivi foronya ipo lkn wanakuja juu sijui hata wanapita wapi nikawa najikuna usiku mzima nikaona isiwe kesi ngoja nikafue mashuka na foronya na godoro nikatoa nje lkn wapi hali ni ileile.
Nikasema ngoja nipige pas lakini mashuka bado jamaa wapo nikaenda kununua dawa moja hivi ya unga niliambiwa ni nzur nikamwaga unga kwenye godoro kitanda kizima kila kwenye tundu lakini hali bado tete nalala kwa shida yaan usiku imekuwa km series ya kujikuna kila siku niwaua kungun kwa kuwabinya watatoa harufu moja matata lkn wapi nimegundua kuna kungun wengine ni wadogo mno ivo ukifeel tu unawasha basi jua upo apo karibu utafeel anavyotembea.
Sasa naombeni mnisaidie nifanyaje
[emoji23] [emoji23]Kunguni ni janga kubwa sana. Waliwahi kunipata miaka flani hapa , walinisumbua sana kwa kweli.
Dawa yao ambayo mm naweza kukushauri ambayo na mm ndio nilifanya nikafanikiwa..
Dawa yao ni kuhama kabisa bila kitu chochote. Oga, toka wewe mwenyewe, hama hiyo nyumba. Usibebe chochote. Narudia tena, usibebe chochote.
Kunguni nadhani wanahisiana na mambo ya shirki
Wa-vietinam hawana dawa muhimu ni kuchoma vyote na kuanza upya
Hawajui kunguni,Wala haihusiani na uchafu Wala usafi!Yeye ajichanganye tu aegemee sehemu mayai yalipo halafu arudi home!Wakianza kufyatuliwa ndio atajua hajui!bado huwajui kunguni ndugu yangu.
tena nyinyi mabishoo unakimbia nyumba unawaachia.