Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

Inaitwaje hiyo dawa
 
Changanya sabuni ya unga, chumvi na Mafuta ya Taa, weka kwenye chupa ya maji ya plastic toboa matobo kwenye mfuniko spray Kila sehemu kwa kitanda, na godoro, ukimaliza anika juani, kitanda mwagia maji ya moto, mashuka yote .na nguo zilizo jirani loweka na msji ya mo to o, utskua in mewaangamiza wote pamoja na mayai Yao.
 
nenda duka la kilimo tafuta 'TwigaPrid' ni kama 15k ivi
changanya na maji lita 20 kisha weka kwenye sprayer tank ya lita 2
spray ndani ya godoro, na kitanda chote

hata nyenyere hutokaa umuone tena
 
Dawa ya kunguni ni moja tu..maji ya moto narudia tena maji ya moto...kununua madawa ni kupoteza pesa mana madawa ya sumu hayawaui mana mengi yao ni feki.

#MaendeleoHayanaChama
 
nenda duka la kilimo tafuta 'TwigaPrid' ni kama 15k ivi
changanya na maji lita 20 kisha weka kwenye sprayer tank ya lita 2
spray ndani ya godoro, na kitanda chote

hata nyenyere hutokaa umuone tena
ngoja niijaribu nione
 
ngoja niifanye iyo njia yako,kwangu wamejaa mpaka kero,kila siku nawaua lakini hawaishi
 
Rahisi Sana chukua petrol au mafuta ya taa Lita Moja nunua sabuni ya UNGA viganja vitatu iwe omo au nyingine weka umo kama changanya na chumvi vijiko vitano ndani ya Lita Moja changanya kwa PAMOJA halafu nyunyuzi pale wanapokaa, UTANITUMIA buku ya elimu hii.

Side effects, harufu mbaya ya petrol au paraffin inaondoa hewa ya oksijeni kwa muda wa siku kadhaa, pia kitanda kama cha chuma kinaweza kulika koz of salt. Hakikisha rangi imekolea au usiweke chumvi kabisa kwenye mchanganyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…