Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Kwa nini usimwambie tu kwamba aende kwenye duka linalouza madawa ya kilimo na mifugo kuliko kumwambia aende Kariakoo? Kama yupo mkoani na kama huko mkoani hakuna soko la Kariakoo afunge safari kwenda mji wenye soko la Kariakoo? BTW dawa nzuri kabisa a kuua kunguni ni Diazinon.Nenda Kkoo sokoni floor ya juu kule kuna madawa yana uzwa yakuangamiza hao viumbe wakorofi