Economy yake ni very poor! Anasema ^sitaki kushusha salio la balance yangu,^ all the while anasahau akilipa mkopo na riba husika, anakuwa ameshusha balance mara nne! Ushamba huu wa mjini umerudije tena Tanzania kwa kasi hivi?Inawezekana. Kama unaziweka fixed account. Pili kwanini ukope si bora upunguze kwenye akiba yako na uweke nadhiri ya kuzirudisha.
But yote ni maamuzi tu.
My tagertEconomy yake ni very poor! Anasema ^sitaki kushusha salio la balance yangu,^ all the while anasahau akilipa mkopo na riba husika, anakuwa ameshusha balance mara nne! Ushamba huu wa mjini umerudije tena Tanzania kwa kasi hivi?
InawezekanaHabari wakuu naweza kupata mkopo bank dhamana ikiwa pesa zilizokuwepo kwenye account yangu
Mfano kwenye account Nina million 40 nataka kununua Guta nifanyie biashara hivyo sitaki kushusha salio la balance yangu iliyokuwepo kwenye account hivyo Sasa nataka kukopa milion 4. Je inawezekana?
Ok... well kwa mfano salio lako ni 40millions. Unataka mkopo bank. Unachokifanya unaomba kuweka kiasi cha pesa yako kwenye fixed account na utapewa faida yake kwa kila mwaka inategemea na bank zilizo nyingi hiwa wanatoa asilimia 8 mpaka 14 kwa mwaka. Maana yake ni kwamba pesa yoyote ukiiweka kwenye fixed akaunt utapewa faida yake kwa asilimia kila mwaka. Pia hiyo pesa uliyoweka unaweza ukaikopea na mkopo wake unapata ndani ya 72 hours ,na kiwango utakachopewa hakitazidi asilimia 90 ya pesa uliyoweka.Embu fafanua vizuri hapo mkuu
Hapa kwenye hati fungani za serikari mkuu naomba unieleweshe.Inawezekana kukopa dhamana ikiwa ni hiyo saving yako. Lakini fanya utafiti kwanza, hiyo 40m ikikaa tu banki kama saving inakuingizia faida kiasi gani kwa mwaka?
Kama una wazo la kuwekeza basi hiyo 4m itoe kwenye saving utengeneze portfolio mpya ya investment. Balance yako itakuwa 36m saving + 4m investment ya guta.
Hiyo 36m au 30m wekeza kwenye hatifungani za Serikali za muda mrefu. Huko kwa savings acha kitu kama 6m tu.
Unashindwa kufanyia biashara 40 mil hadi ukaifiche benki? Umaskini unauvuta mwenyewe. Nakushauri umtafute financial advisor ukae naye, akupe ABCs za uzalishaji wa pesa.My tagert
Ile pesa nitakayochukua ndio nitakayoifanya baishara na ikarudisha mkopo wa bank huku salio langu la hakiba likabaki palepale
Kwenye hati fungani usalama no wa uhakika. Jamna longolongo kabisa kule.Vp kuhusu usalama wa pesa