Naweza kukopa pesa benki dhamana ikiwa pesa zilizokuwepo kwenye account yangu?

kuna somo hapa. comments zinaelimisha
 
Vp kuhusu usalama wa pesa
Hatifungani za Serikalini ni salama kwa kiwango kikubwa sana,labda kama itatokea vita au Mapinduzi, hapo kidogo iko tafrani, utakuwa kati ya wale wanaoidai Serikali.
 
Achana na mpango wa kukopa bank. Chukua hapo kwenye pesa yako. Halafu nunua hilo guta. Piga kazi ukirudishia ile uliyochukua. Na kiasi ambacho ilikuwa utoe riba bank utabaki nacho mwenyewe.

Namna nyingine ya kufanya,baada ya kudokoa hicho kiasi unachotaka kutoka kwenye salio lako. Unaweza kukubaliana na bank uifunge hiyo akaunti isitoe hela mpaka miaka mi5 labda. Ila iwe inaingiza tu. Mfano weka malengo kuringana na biashara yako,kila siku unakubalina nao utakuwa unaingiza labda elfu 20. Hiyo lazima iingie kila siku. Kwa muda wa miaka mi5. Utakuwa umejikusanyia kiasi kikubwa cha pesa. Na bank ksbb hiyo hela unakuwa huitoi wanakulipa riba wewe. (Wapo wataalam wa hii humu wanaweza kuilezea vizuri)
 
Mimi niko na horse tunaweza shea

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…