Naweza kupata basi la saa 5 usiku kutoka Mwanza kwenda Musoma?

Naweza kupata basi la saa 5 usiku kutoka Mwanza kwenda Musoma?

Mabasi mengi ya Musoma kwenda Dar au Arusha au Dom yanapitia Lamadi Bariadi Maswa Shinyanga
 
Juzi SAA 3 usiku hapo NATA wanapiga debe kuwa wale wa Musoma hadi Tarime gari zipo, ina maana kuna gari zinapatikana
 
Unaelewa unachoandika Dogo? Yaani atoke Mwanza aende Bariadi ili awahi kufika Musoma?🙄🙄🙄🙄!? Serious!!???
Lipa madeni mkuu stress zinaweza kukuua,nimetumia neno nadhani nikijua fika kuna uwezekano wa kukosea hapo. My point was ajitahisi asogee mbele kwa namna yeyote huko mbele atapata mabasi yanayotoka Dar.
 
Back
Top Bottom