chemical brother
Member
- Nov 23, 2023
- 5
- 1
Nafikiri amemaanisha LamadiUnaelewa unachoandika Dogo? Yaani atoke Mwanza aende Bariadi ili awahi kufika Musoma?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]!? Serious!!???
Unaelewa unachoandika Dogo? Yaani atoke Mwanza aende Bariadi ili awahi kufika Musoma?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]!? Serious!!???
Kama Lamadi sawa.
Duh!No jamaa anamshauri mleta mada atoke Mwanza kwa kuungaunga mbele kwa mbele avizie michuma inayotoka Daslam via Maswa to Bariadi
Unapata, yanayotokea DSM. Ukienda Nyamihongoro stand.Wakuu, naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku?
Unaelewa unachoandika Dogo? Yaani atoke Mwanza aende Bariadi ili awahi kufika Musoma?ππππ!? Serious!!???
utapata magari madogoWakuu, naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku?
Lipa madeni mkuu stress zinaweza kukuua,nimetumia neno nadhani nikijua fika kuna uwezekano wa kukosea hapo. My point was ajitahisi asogee mbele kwa namna yeyote huko mbele atapata mabasi yanayotoka Dar.Unaelewa unachoandika Dogo? Yaani atoke Mwanza aende Bariadi ili awahi kufika Musoma?ππππ!? Serious!!???
Asante mkuu kwa kumuelewesha.Bariadi eneo la lamadi ndio njia panda ilipo.