Sio hivyo tu Biblia nzima pamoja na Quran ni vitabu vya uongo maana vimechakachua historia ya kweli.
Uhalisia uko hivi, walianza wazungu wa ugiriki na hao warumi waliokuja Afrika kujifunza mambo mengi, baada ya kurudi makwao walicopy lifestyle ya Afrika na kuunda nadharia zao ambazo wameiba afrika na baadae kuzifanya kama sehemu ya maisha yao ya kidini, na baadae hata ktk uislamu vile vile walicopy takataka ambazo zimeshachakachuliwa kutoka wa warumi na kuunda huo uislamu.
Dini zote asili yake ni mafundisho ya imani za waafrika wa kale maelfu kwa maelfu ya miaka tofauti na dini zao ambazo zinadai kuwa dunia tangu kuumbwa kwa adamu ni kama miaka 70,00 kumbe si kweli dunia ina mamilioni ya miaka, ipo na itaendelea kuwepo.
Hivi kiuhalisia tu mwanadamu angeumbwa miaka ya juzi hapo kulingana na historia za dini zao mnadhani hivi leo tungefika hata nusu ya idadi ya watu hivi leo?.
Vitabu vinavyoongelea haya mambo vipo sema, waafrika mmechagua kufuata huo ushetani wa wazungu+waarabu na kuona masuala ya kiafrika ni upagani, kumbe mnapotea.
Dini zote zinamuabudu huyo wanaemuita shetani kwa majina ya vificho, toa mahaba ya kidini alafu fuatilia asili ya hayo majina ya Miungu wenu akina Yesu, Allah, Jehovah, elishadai, hizi zote ni takataka za wazungu, mizimu yao ndio wakaipa mamlaka ya Uungu.
Wake up