Utaona vilivyopo vinatofautiana, kwa hiyo utajua hapa kuna shida ya kupata ukweli kama originalSasa utajuaje hiki kimerudiwa sana na kuandikwa upya kama huna kitabu original cha kulinganisha??
Utaona vilivyopo vinatofautiana, kwa hiyo utajua hapa kuna shida ya kupata ukweli kama originalSasa utajuaje hiki kimerudiwa sana na kuandikwa upya kama huna kitabu original cha kulinganisha??
mnaota, mbona mna imani haba enyi msioamini?Hata mimi natamani sana kupata injili, zaburi na taurat zilizoshushwa nisilimu!
MkuuVikusaidie nini?
Yaani hayo mangonjera na mahadithi yasiyo na kichwa wala miguu ndio yanasumbua akili yako hivyo?
MkuuIla ndugu zangu wakristo nyinyi kwa ubishi mmeshindikana. Yani hata kama kitu kiko straight mtapinga tu.
Mimi nimejaribu kumwambia kuwa hivo vitabu anavyotafuta kamwe hawezi kuvipata, hata hao Mapadre wachache wanaojua ukweli wakionyesha dalili ya kuukubali uislamu tu wnauliwa immediately. Kwa kifupi Injili ya kweli inasema Yesu ni Mtume na sio mwana wa Mungu, na pia inasema Muhammad ni Mtume atakayekuja baada ya Yesu, sasa unatarajia vitabu hivyo wataviweka hadharani kweli? hata mapadre hawa wa kibongo hawajui ukweli huu unafichwa sababu ukijulikana Ukristo utakuwa matatani.. ni wachache tu ndio wanajua huko vatican
MkuuUtaona vilivyopo vinatofautiana, kwa hiyo utajua hapa kuna shida ya kupata ukweli kama original
Mungu sio Kitabu cha Biblia au Koran. Hata kama vitabu hivyo havipo Mungu yupo tu.Leo nilikuwa najiuliza tena why should I trust in God
Sijapata jibu mpaka sasa
Ishu sio Qur'an, ishu Biblia ambayo mnasema ni injili, torati na Zaburi zimechangangwaMoja ya hadithi ya kiislamu inasema...kuna swahaba alimwendea Muhammad akiwa na kurasa kadhaa za Torati,Mtume alipoziona akakasirika na akasema" kama Musa angelikuwa hai leo na mkaamua kumfuata yeye na sio kunifuata mimi basi mngelipotea".
So, ni certainly and definitely habari za torati kuharibiwa ni za kutengeneza ili kushika kenge masikio.
Muhammad alijua fika kuwa ikiwa mtu utasoma vitabu vya kale vya manabii utajua Muhammad ni Mwongo na Wakala wa Shetani. sio tu Muhammad alichukia vitabu vyao bali na wao pia individual ila akaamua watajwe kwenye dini yake kama marketing tu.
Whenever Mungu anapojenga Altar Shetani nae ujenga Chapel Next door.
Kwanza inabidi utambue uwezo wako kama mwanadamu ni mdogo mno hata ukijiona una akili sana.Unaamini vipi kiumbe ambacho hujui uhalisia wake zaidi ya kusimuliwa? Dini zilishawashika akili watu na kuwafanya wasiwaze nje ya box, huyo Mungu wa dini hayupo, kaundwa kwa kucopy stories za kale, ndiomaana kila dini ina Mungu wake na storie zake ambazo zinapingana, je kuna Mungu wangapi?,
Umeongea ujinga sana, nature ya mwanadamu ni kulazimishwa kufuata taratibu.Aanzishe dini ili auwe kama dini zenu zilivyouwa maelfu ya watu? Maana dini msingi wake ni matumizi ya hofu na nguvu ili kupata waumini, ndiomaana hata watoto wenu mnawalazimisha kwenda ibadan maana bila nguvu hawawezi kumuamini huyo Mungu wenu wa wazungu na waarabu.
Nukuu, rejea kusambazws kwa hizi takataka zenu za kidini jinsi zilivyoharibu maisha ya watu.
Imani ya kweli haihitaji kulazimisha wala kutishana, vile vile haihitaji kupandikizana mafundisho maana imani ya kweli ipo kwa kila mtu pale anapozaliwa na asili inamfuata, imani ya asili inakufa pale mnapoanza kuwapandikiza watoto ushetani wenu wa dini na mifumo mibovu ya maisha.
Afrika haihitaji dini, haijawai kuwa na dini ili kujua mambo ya kiroho, bali ilikuwa na imani ambayo ndio msingi wa maisha na asili ya ulimwengu.
Una ushahidi ?Hakuna hivi vitabu. Vilivyopo vimerudiwa sana na kuandikwa upya na wafuasi tofauti mpaka baadhi mambo muhimu aidha hayamo au yanapishana.
Mwanangu umendika pumba sanaIla ndugu zangu wakristo nyinyi kwa ubishi mmeshindikana. Yani hata kama kitu kiko straight mtapinga tu.
Mimi nimejaribu kumwambia kuwa hivo vitabu anavyotafuta kamwe hawezi kuvipata, hata hao Mapadre wachache wanaojua ukweli wakionyesha dalili ya kuukubali uislamu tu wnauliwa immediately. Kwa kifupi Injili ya kweli inasema Yesu ni Mtume na sio mwana wa Mungu, na pia inasema Muhammad ni Mtume atakayekuja baada ya Yesu, sasa unatarajia vitabu hivyo wataviweka hadharani kweli? hata mapadre hawa wa kibongo hawajui ukweli huu unafichwa sababu ukijulikana Ukristo utakuwa matatani.. ni wachache tu ndio wanajua huko vatican
Waulize hao hao waliokwambia vimechakachuliwa, wakwambie zilipo nakala halisi.Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
Vipo ndani yakoInasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
Hofu yako tu. Hakuna awezaye kupotosha maandiko matakatifu. Kwanza hadi sasa nakala za sehemu ya vitabu vya kale vinaendelea kugundulika na wanapolinganisha na vitabu vilivyopo hakuna tofauti. Wayahudi ni watu makini sana ktk kuhifadhi vitu vyenye thamani. Wameweza kuhifadhi lugha na utamaduni wao kwa zaidi ya miaka 2000. Biblia Agano la kale ni sehemu ya utamaduni wao. Haiwezekani kuchakachua.Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
Biography ya kwanza ya Mtume Muhammad iliandikwa miaka 200 baada ya yeye Kuwa ameshakufa, mtu aliyeandika anaitwa Al-Bukhari alitoka central asia kwenda HejazInasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
Upo sahihi 100%Hofu yako tu. Hakuna awezaye kupotosha maandiko matakatifu. Kwanza hadi sasa nakala za sehemu ya vitabu vya kale vinaendelea kugundulika na wanapolinganisha na vitabu vilivyopo hakuna tofauti. Wayahudi ni watu makini sana ktk kuhifadhi vitu vyenye thamani. Wameweza kuhifadhi lugha na utamaduni wao kwa zaidi ya miaka 2000. Biblia Agano la kale ni sehemu ya utamaduni wao. Haiwezekani kuchakachua.