Hata mimi natamani sana kupata injili, zaburi na taurat zilizoshushwa nisilimu!Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
Sasa utajuaje hiki kimerudiwa sana na kuandikwa upya kama huna kitabu original cha kulinganisha??Hakuna hivi vitabu. Vilivyopo vimerudiwa sana na kuandikwa upya na wafuasi tofauti mpaka baadhi mambo muhimu aidha hayamo au yanapishana.
Mtafute padre mmoja anaitwa padre titus Amigu.Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
Unaweza kutupatia ushahidi wa haya madai yako?Hakuna hivi vitabu. Vilivyopo vimerudiwa sana na kuandikwa upya na wafuasi tofauti mpaka baadhi mambo muhimu aidha hayamo au yanapishana.
Nakupa kazi ww kusanya hiyo bible na Quran anzisha dini yako tuone,Moja ya hadithi ya kiislamu inasema...kuna swahaba alimwendea Muhammad akiwa na kurasa kadhaa za Torati,Mtume alipoziona akakasirika na akasema" kama Musa angelikuwa hai leo na mkaamua kumfuata yeye na sio kunifuata mimi basi mngelipotea".
So, ni certainly and definitely habari za torati kuharibiwa ni za kutengeneza ili kushika kenge masikio.
Muhammad alijua fika kuwa ikiwa mtu utasoma vitabu vya kale vya manabii utajua Muhammad ni Mwongo na Wakala wa Shetani. sio tu Muhammad alichukia vitabu vyao bali na wao pia individual ila akaamua watajwe kwenye dini yake kama marketing tu.
Whenever Mungu anapojenga Altar Shetani nae ujenga Chapel Next door.m
Zaburi ninayo imeandikwa kwa lugha ya kiarabu ..Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
Aanzishe dini ili auwe kama dini zenu zilivyouwa maelfu ya watu? Maana dini msingi wake ni matumizi ya hofu na nguvu ili kupata waumini, ndiomaana hata watoto wenu mnawalazimisha kwenda ibadan maana bila nguvu hawawezi kumuamini huyo Mungu wenu wa wazungu na waarabu.Nakupa kazi ww kusanya hiyo bible na Quran anzisha dini yako tuone,
Unaamini vipi kiumbe ambacho hujui uhalisia wake zaidi ya kusimuliwa? Dini zilishawashika akili watu na kuwafanya wasiwaze nje ya box, huyo Mungu wa dini hayupo, kaundwa kwa kucopy stories za kale, ndiomaana kila dini ina Mungu wake na storie zake ambazo zinapingana, je kuna Mungu wangapi?,Leo nilikuwa najiuliza tena why should I trust in God
Sijapata jibu mpaka sasa
Niwe na dini yangu ya kazi gani hasa?.Nakupa kazi ww kusanya hiyo bible na Quran anzisha dini yako tuone,