Naweza kusoma tena Degree ili niipandishe GPA?

Utazeekea shule mkuu,
 
Asante Sana. Natamani tuwe connected mutually. Umedadavua vema Sana, pamoja na kejeli za baadhi ya wajumbe nikiri nimepata kitu.
 
Huu ushauri wako na wengine pia umenyooka sana
 
Jamii Forum kwa kipindi cha nyuma ilikuwa safi sana. Lakini kwa sasa imekuwa hovyo sana. Imagine jamaa ameomba ushauri kwa maana nzuri tu, linakuja jinga moja sijui mibange limevuta huko linaponda.kama wewe unaona post haikuhusu si ulale mbele kwani lazima uchangie kila uzi? Shubamitttt.
Anyway jamaangu kapige shule aisee nimepitia comments hapa kuna wanga walinikera sana
 
Shukrani sana.
Hata Mimi nimeshangaa hii Ni JF ninayoijua au la! Professionalism imepungua Sana, mipasho mingi km X au Instagram. Hata hivyo kupitia wachache ambao walinielewa nimepata options kadhaa. Ubarikiwe
 
Mkuu si kila kitu kwenye maisha ni hela, maisha ni zaidi ya pesa, kuna watu kufanya kitu ambacho anakipenda ndo anaona maana ya maisha na kuishi (life is more than money)
kuna maelfu ya watu wametafuta pesa kama ww, baada ya kuzipata wanaona haiwapi faraja walioitegemea, na kuna mwengine ametafuta kitu anachokipenda kufanya na kupata faraja.
 
Acha kutetea ujinga.
 
Komaa na TAMISEMI yetu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…