MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Habari viongozi?
Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda.
Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti.
Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na kazi.