MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Karipoti polisi watakusaidia ila ndio hivyo uwe na pesa ya kuwapooza..Habari viongozi?
Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda.
Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti.
Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na kazi.
Unakunywaga wanzuki?Habari viongozi?
Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda.
Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti.
Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na kazi.
duhUnakunywaga wanzuki?
Sometimes huwa tunakaa na Hawa madogo maskani Wana njaa hawana michogo tunajaribu kuwakwamua kishikaji lakini wanatuliza hata Mimi Iliwahi kunitokea nililizwa na dogo niliyemwonea huruma. Unaweza Kuta mleta mada hakuwa hata na program na pikipiki ila huruma imemponza.Hivi inakuaje unampa mtu mali yako ya gharama kwa mali kauli??
Kwa dunia ya mauza uza namna hii..
Kaka pikipiki yako inapatikana ila ukubali tu kuigharamia. Ukimpata mwizi wako, atakulipa pesa yote hadi ya usumbufu. Nenda polisi, waombe msaada kwa dhumuni la kumtrack. Polisi watafanya kazi na tigo, watamtrack hata kama anatumia kiswaswadu. Jiandae tu kwa usumbufu, ila utalipwa na faida juu n chombo chako kitarudiHabari viongozi?
Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda.
Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti.
Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na kazi.
karipoti polisi kwanza ili kujiridhisha 🐒Habari viongozi?
Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda.
Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti.
Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na kazi.
Vipi mwizi akiwa Hana kitu??Kaka pikipiki yako inapatikana ila ukubali tu kuigharamia. Ukimpata mwizi wako, atakulipa pesa yote hadi ya usumbufu. Nenda polisi, waombe msaada kwa dhumuni la kumtrack. Polisi watafanya kazi na tigo, watamtrack hata kama anatumia kiswaswadu. Jiandae tu kwa usumbufu, ila utalipwa na faida juu n chombo chako kitarudi
At least utaipata pikipiki yako. Kama imeuzwa utampata mnunuzi wa kitu cha wizi. Wote kitu kimoja, kwanza hawa wateja wa vitu vya wizi ndio wabaya zaidi, wametengeneza demand/soko la vitu vya wizi. Wote tia ndani. Kama hawana cha kukulipa, wote tia ndani. Akishindwa kukulipa, ukiamua utawatoa baadae au uwaache waozee jela. Ila most probably, utalipwa fidia n faida. Usiwe n tamaa maana wataozea jelaVipi mwizi akiwa Hana kitu??
hakuna anaenunuanpikipiki bila kadi hiyo labda akaiuze vifaa kama hajapata majanga maana muda mwingine usikute ashatundikwa pikipiki wamechukua wenye ujuaji zaidiAt least utaipata pikipiki yako. Kama imeuzwa utampata mnunuzi wa kitu cha wizi. Wote kitu kimoja, kwanza hawa wateja wa vitu vya wizi ndio wabaya zaidi, wametengeneza demand/soko la vitu vya wizi. Wote tia ndani. Kama hawana cha kukulipa, wote tia ndani. Akishindwa kukulipa, ukiamua utawatoa baadae au uwaache waozee jela. Ila most probably, utalipwa fidia n faida. Usiwe n tamaa maana wataozea jela
Morogoro kaka.Upo mkoa gani...?