Naweza nikatrack mawasiliano ya simu ambayo nimeongea nayo juzi? Kijana kakimbia na pikipiki yangu toka juzi, hivi sasa hapatikani.

hakuna anaenunuanpikipiki bila kadi hiyo labda akaiuze vifaa kama hajapata majanga maana muda mwingine usikute ashatundikwa pikipiki wamechukua wenye ujuaji zaidi

Kaka Mtandao wa wizi wa pikipiki au Magari hujui unavyofanya kazi,pikipiki inanunuliwa bila kazi wanachezesha TRĄ file mpya inatoka.
 
Mleta mada nicheki PM nikusaidie, ukiwa serious unapata pikipiki yako vizuri.
 
Upo sahihi kabisa.
 
Kama ni huruma basi pole yake aisee.
 
Simple sana hiyo inawezekana maana hata kama kabadilisha simu fatilieni mawasiliano yake na watu wa ke wa karibu mtamnasa mcha kweupe
 
MWIZI NAE KAKOMENTI, AMEJUAJE KIJANA ANATUMIA TIGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…