Hakuna haja ya kuongeza comment mkuu umemaliza kila tu ,,, wala usiogope na wakipiga piga ww badili no ,, kimeishia hapoHuwa wanapiga piga simu kukukumbusha uwalipe ila hakuna wakukufuata labda ujipeleke isitoshe mkopo una bima so hiyo ndo hasara inayotakiwa kufidiwa na bima
Unadhani wanaishia hapo tu?Huwa wanapiga piga simu kukukumbusha uwalipe ila hakuna wakukufuata labda ujipeleke isitoshe mkopo una bima so hiyo ndo hasara inayotakiwa kufidiwa na bima
Kama sina mpango wa kukopa kabisa maishani hawana cha zaidiUnadhani wanaishia hapo tu?
Labda ugeuke kuwa zimwi shing'weng'we ndio utaachana Na kukopaKama sina mpango wa kukopa kabisa maishani hawana cha zaidi
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu. Lakini je nikiwa nje ya system huwa kuna utaratibu wa kulipa? Au ni lazima nibakie kwenye system?
Huo ni mkopo wa mtumishi wa serikali sio wa biasharaMkuu hutokopeshwa kama upo nje ya system na huo mkopo ulipo kopea
Usijidanganye ati huwa wanapiga tu simu wala hawakufatilii,
Nakushauri tu ufanye mbinu mbadala ya kulilipa hilo deni
Siku hizi wanaingizwa matatizoni kuanzia mkopaji hadi na familia inawekwa matatizoni
Usijipe kamoyo ati utakacha au kubadili namba za simu
Mkuu dawa ya deni ni kulipa tu popote uendapo ulipe tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] hapo kwa baba mkwe sasa... Usikute yeye ndiye anakopa kwanguMjanja wewe, Ila wao ni wajanja kuliko wewe. Wakikukosa jina lako linapelekwa creditors Beaural. Huko likipelekwa unaorodheshwa kama bad debtor, mikopo utaisikia tu redioni kama bombadia Morogoro. Labda ukopeshwe Na baba mkwe wako