navache
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 499
- 368
Heshima zenu wakuu
Nipo Pwani ya kupambana na ninataka kuchoma meli. Lakini tatizo kuna mpinzani mmoja ananivuta shati nyuma. Mpinzani huyo ni mkopo toka benki moja hivi mjini.
Hoja yangu ni hii kwenu wajuzi wa taratibu za utumishi bila kusahau wazoefu wa uhalisia.
Je, nikiacha kazi bila kufuata taratibu watamalizana na mwajiri au watamalizana na mimi?
Uhalisia ukoje?