Nashukuru kwa jibu lako lenye ufafanuzi mzuriMkuu hutokopeshwa kama upo nje ya system na huo mkopo ulipo kopea
Usijidanganye ati huwa wanapiga tu simu wala hawakufatilii,
Nakushauri tu ufanye mbinu mbadala ya kulilipa hilo deni
Siku hizi wanaingizwa matatizoni kuanzia mkopaji hadi na familia inawekwa matatizoni
Usijipe kamoyo ati utakacha au kubadili namba za simu
Mkuu dawa ya deni ni kulipa tu popote uendapo ulipe tu
Hahahaaaaa eti zuzu. Unafikiri sijui mashati yake? Mbona yako wazi. Suala hapa ni uhalisia wake katika ulimwengu halisi.. Kitu ambacho maranyingi huwa kinamsingi kuliko maandishi yenyeweZuzu at work..meaning umechukua mkopo bila hata kujua vigezo na masharti
Asante kwa uzoefu huo.Katika kitengo ninacho piga kazi.. Kuna jamaa zangu wawili waliacha kaz mwaka 2016 tena wote wote wakiwa na madeni Nmb,mmoja wapo akiwa amelipa mwaka mmoja tu. Na mwingine miaka miwili tu. Kumbuka mikopo yao wote wawili ilikuwa ya muda wa miaka 5.mpaka Leo tunawasiliana nao hawajafanywa lolote
Mi kuna jamaa namjua kabisa alishakopa na ameacha na yupo hewani kila siku.. Hakuna Benk kumtafuta wa nnNashukuru kwa ushauri wako mkuu. Lakini je nikiwa nje ya system huwa kuna utaratibu wa kulipa? Au ni lazima nibakie kwenye system?
Nadhan mmeshindwa kutofautisha kama ni mkopo wa kibiashara au Wa kitumishiMkuu hutokopeshwa kama upo nje ya system na huo mkopo ulipo kopea
Usijidanganye ati huwa wanapiga tu simu wala hawakufatilii,
Nakushauri tu ufanye mbinu mbadala ya kulilipa hilo deni
Siku hizi wanaingizwa matatizoni kuanzia mkopaji hadi na familia inawekwa matatizoni
Usijipe kamoyo ati utakacha au kubadili namba za simu
Mkuu dawa ya deni ni kulipa tu popote uendapo ulipe tu
Upo sawa kabisa..mi namjua mmoja mpaka leo yupo anafanya mambo yake na hawajawahi kumfatiliaKatika kitengo ninacho piga kazi.. Kuna jamaa zangu wawili waliacha kaz mwaka 2016 tena wote wote wakiwa na madeni Nmb,mmoja wapo akiwa amelipa mwaka mmoja tu. Na mwingine miaka miwili tu. Kumbuka mikopo yao wote wawili ilikuwa ya muda wa miaka 5.mpaka Leo tunawasiliana nao hawajafanywa lolote
Bima ni kwa Marehemu tu.Huwa wanapiga piga simu kukukumbusha uwalipe ila hakuna wakukufuata labda ujipeleke isitoshe mkopo una bima so hiyo ndo hasara inayotakiwa kufidiwa na bima
Mafao niliwaachia sijawauliza maana hata mil 4 haifiki sikukaa kazini sana, NBC huwa wananipigia wanasema uncle amebadili sheria hawawezi tena ku access mafao yangu kabla sijafikisha 45 hivyo wanaomba niwape manually nikawaambia sikukubaliana nanyi hivyo kimaandishi, OverBima ni kwa Marehemu tu.
Kijana ukiacha kazi mafao yako yatacover deni la bank mpaka uishe.
Walinipigia tu, tena ni NBC pekeyaoOk. Waliwahi kukuita au ulipigiwa tu simu?
Kwasababu kunatofauti kati ya kuacha kazi na kuachishwa, Banks hazitaishia pia kwenye mafao, nipo Mwanza kuna mama mmoja aliacha kazi lakini CRDB nafikiri walimfuata na kumwambia awaeleze ni utararibu gani mpya atauchukua ili kuhakikisha deni linalipwa, pamoja na hati kuwa mdhamana wa 2. Mama kakubaliana nao kurejesha taratibu taratibu kila mwezi..kwakuwa makato ni machache.Mafao niliwaachia sijawauliza maana hata mil 4 haifiki sikukaa kazini sana, NBC huwa wananipigia wanasema uncle amebadili sheria hawawezi tena ku access mafao yangu kabla sijafikisha 45 hivyo wanaomba niwape manually nikawaambia sikukubaliana nanyi hivyo kimaandishi, Over
Naona wadau wanajitia jeuri ya kukopa bila kulipa. Vibaya hivyoWadau huu Uzi dhamira yake ni nini hasa?
Kwamba tukope kwa lengo lakutorudisha mkopo au?
Umemaliza wengi hawalijui ili kama kweli mtu unamalengo ya kufika mbali kibiashara huwezi kimbia mkopo kwa maana utakuwa umejiharibia kabisa Na hautokopeshekaMjanja wewe, Ila wao ni wajanja kuliko wewe. Wakikukosa jina lako linapelekwa creditors Beaural. Huko likipelekwa unaorodheshwa kama bad debtor, mikopo utaisikia tu redioni kama bombadia Morogoro. Labda ukopeshwe Na baba mkwe wako