Nawezaje kuacha kazi huku nina mkopo benki?

Mkuu hutokopeshwa kama upo nje ya system na huo mkopo ulipo kopea
Usijidanganye ati huwa wanapiga tu simu wala hawakufatilii,
Nakushauri tu ufanye mbinu mbadala ya kulilipa hilo deni
Siku hizi wanaingizwa matatizoni kuanzia mkopaji hadi na familia inawekwa matatizoni
Usijipe kamoyo ati utakacha au kubadili namba za simu
Mkuu dawa ya deni ni kulipa tu popote uendapo ulipe tu
Nashukuru kwa jibu lako lenye ufafanuzi mzuri
 
Katika kitengo ninacho piga kazi.. Kuna jamaa zangu wawili waliacha kaz mwaka 2016 tena wote wote wakiwa na madeni Nmb,mmoja wapo akiwa amelipa mwaka mmoja tu. Na mwingine miaka miwili tu. Kumbuka mikopo yao wote wawili ilikuwa ya muda wa miaka 5.mpaka Leo tunawasiliana nao hawajafanywa lolote
 
Mimi niliacha nikiwa na mikopo zaidi ya simu hakuna kingine ila nimeambiwa sitakopeshwa popote na sina haja ya kukopa tena na miriba yenu.
Ok. Waliwahi kukuita au ulipigiwa tu simu?
 
Zuzu at work..meaning umechukua mkopo bila hata kujua vigezo na masharti
Hahahaaaaa eti zuzu. Unafikiri sijui mashati yake? Mbona yako wazi. Suala hapa ni uhalisia wake katika ulimwengu halisi.. Kitu ambacho maranyingi huwa kinamsingi kuliko maandishi yenyewe
 
Katika kitengo ninacho piga kazi.. Kuna jamaa zangu wawili waliacha kaz mwaka 2016 tena wote wote wakiwa na madeni Nmb,mmoja wapo akiwa amelipa mwaka mmoja tu. Na mwingine miaka miwili tu. Kumbuka mikopo yao wote wawili ilikuwa ya muda wa miaka 5.mpaka Leo tunawasiliana nao hawajafanywa lolote
Asante kwa uzoefu huo.
 
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu. Lakini je nikiwa nje ya system huwa kuna utaratibu wa kulipa? Au ni lazima nibakie kwenye system?
Mi kuna jamaa namjua kabisa alishakopa na ameacha na yupo hewani kila siku.. Hakuna Benk kumtafuta wa nn
 
Mkuu hutokopeshwa kama upo nje ya system na huo mkopo ulipo kopea
Usijidanganye ati huwa wanapiga tu simu wala hawakufatilii,
Nakushauri tu ufanye mbinu mbadala ya kulilipa hilo deni
Siku hizi wanaingizwa matatizoni kuanzia mkopaji hadi na familia inawekwa matatizoni
Usijipe kamoyo ati utakacha au kubadili namba za simu
Mkuu dawa ya deni ni kulipa tu popote uendapo ulipe tu
Nadhan mmeshindwa kutofautisha kama ni mkopo wa kibiashara au Wa kitumishi
 
Katika kitengo ninacho piga kazi.. Kuna jamaa zangu wawili waliacha kaz mwaka 2016 tena wote wote wakiwa na madeni Nmb,mmoja wapo akiwa amelipa mwaka mmoja tu. Na mwingine miaka miwili tu. Kumbuka mikopo yao wote wawili ilikuwa ya muda wa miaka 5.mpaka Leo tunawasiliana nao hawajafanywa lolote
Upo sawa kabisa..mi namjua mmoja mpaka leo yupo anafanya mambo yake na hawajawahi kumfatilia
 
Huwa wanapiga piga simu kukukumbusha uwalipe ila hakuna wakukufuata labda ujipeleke isitoshe mkopo una bima so hiyo ndo hasara inayotakiwa kufidiwa na bima
Bima ni kwa Marehemu tu.

Kijana ukiacha kazi mafao yako yatacover deni la bank mpaka uishe.
 
Mafao niliwaachia sijawauliza maana hata mil 4 haifiki sikukaa kazini sana, NBC huwa wananipigia wanasema uncle amebadili sheria hawawezi tena ku access mafao yangu kabla sijafikisha 45 hivyo wanaomba niwape manually nikawaambia sikukubaliana nanyi hivyo kimaandishi, Over
 
Kwasababu kunatofauti kati ya kuacha kazi na kuachishwa, Banks hazitaishia pia kwenye mafao, nipo Mwanza kuna mama mmoja aliacha kazi lakini CRDB nafikiri walimfuata na kumwambia awaeleze ni utararibu gani mpya atauchukua ili kuhakikisha deni linalipwa, pamoja na hati kuwa mdhamana wa 2. Mama kakubaliana nao kurejesha taratibu taratibu kila mwezi..kwakuwa makato ni machache.
 
Mjanja wewe, Ila wao ni wajanja kuliko wewe. Wakikukosa jina lako linapelekwa creditors Beaural. Huko likipelekwa unaorodheshwa kama bad debtor, mikopo utaisikia tu redioni kama bombadia Morogoro. Labda ukopeshwe Na baba mkwe wako
Umemaliza wengi hawalijui ili kama kweli mtu unamalengo ya kufika mbali kibiashara huwezi kimbia mkopo kwa maana utakuwa umejiharibia kabisa Na hautokopesheka
 
Back
Top Bottom