lost password
Member
- Sep 30, 2018
- 32
- 23
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mjanja wewe, Ila wao ni wajanja kuliko wewe. Wakikukosa jina lako linapelekwa creditors Beaural. Huko likipelekwa unaorodheshwa kama bad debtor, mikopo utaisikia tu redioni kama bombadia Morogoro. Labda ukopeshwe Na baba mkwe wako
Mzee baba nimekubaliiiiiiiHahahaaaaa aisee nimependa ushuhuda wako ambao ni flesh
Na anarudisha?[emoji15] [emoji15] [emoji15] hapo kwa baba mkwe sasa... Usikute yeye ndiye anakopa kwangu
HawaweziNaamini ukiacha kama ni mtumishi; wanaenda kukomba nssf yote
Ikitokea wakarudi kazini hata baada ya miaka 10 Mkopo unaibuka tenaKatika kitengo ninacho piga kazi.. Kuna jamaa zangu wawili waliacha kaz mwaka 2016 tena wote wote wakiwa na madeni Nmb,mmoja wapo akiwa amelipa mwaka mmoja tu. Na mwingine miaka miwili tu. Kumbuka mikopo yao wote wawili ilikuwa ya muda wa miaka 5.mpaka Leo tunawasiliana nao hawajafanywa lolote
Haina shida kama tuHeshima zenu wakuu
Nipo Pwani ya kupambana na ninataka kuchoma meli. Lakini tatizo kuna mpinzani mmoja ananivuta shati nyuma. Mpinzani huyo ni mkopo toka benki moja hivi mjini.
Hoja yangu ni hii kwenu wajuzi wa taratibu za utumishi bila kusahau wazoefu wa uhalisia.
Je, nikiacha kazi bila kufuata taratibu watamalizana na mwajiri au watamalizana na mimi?
Uhalisia ukoje?
Huwa wanapiga piga simu kukukumbusha uwalipe ila hakuna wakukufuata labda ujipeleke isitoshe mkopo una bima so hiyo ndo hasara inayotakiwa kufidiwa na bima