Nawezaje kuacha kazi huku nina mkopo benki?

Nawezaje kuacha kazi huku nina mkopo benki?

Mjanja wewe, Ila wao ni wajanja kuliko wewe. Wakikukosa jina lako linapelekwa creditors Beaural. Huko likipelekwa unaorodheshwa kama bad debtor, mikopo utaisikia tu redioni kama bombadia Morogoro. Labda ukopeshwe Na baba mkwe wako
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Ukiacha kazi ikiwa una mkopo, kikubwa ni kutafuta njia nyingine mbadala ya kuendelea kulipa huo mkopo,

Amasivyo jina lako litakua blacklisted credit info itapelekea wewe kuto kukopeshwa na taasisi yoyote ambayo ipo kwenye mfumo mpaka umalize huo mkopo

Tofauti na hapo benki itakua inakupigia simu tu, kuuliza vipi mbona mkopo wao hulipi!!???
 
Katika kitengo ninacho piga kazi.. Kuna jamaa zangu wawili waliacha kaz mwaka 2016 tena wote wote wakiwa na madeni Nmb,mmoja wapo akiwa amelipa mwaka mmoja tu. Na mwingine miaka miwili tu. Kumbuka mikopo yao wote wawili ilikuwa ya muda wa miaka 5.mpaka Leo tunawasiliana nao hawajafanywa lolote
Ikitokea wakarudi kazini hata baada ya miaka 10 Mkopo unaibuka tena
 
Heshima zenu wakuu

Nipo Pwani ya kupambana na ninataka kuchoma meli. Lakini tatizo kuna mpinzani mmoja ananivuta shati nyuma. Mpinzani huyo ni mkopo toka benki moja hivi mjini.

Hoja yangu ni hii kwenu wajuzi wa taratibu za utumishi bila kusahau wazoefu wa uhalisia.

Je, nikiacha kazi bila kufuata taratibu watamalizana na mwajiri au watamalizana na mimi?

Uhalisia ukoje?
Haina shida kama tu

1. Hauna mpango wa kukopa tena taasisi yoyote ya fedha, maana utakapoenda kukopa popote watakua wame ku black list kwa hiyo hautaweza kukopa

2. Hauna mpango tena wa kuajiriwa, maana ukiajiriwa tu tena, nawakijua kuwa umeajiriwa , wataenda moja kwa moja kwa muajiri wako

3. Hauna mpango wa kufaulu maisha ya akhera, maana kwenye dini tunaamini amali zako hazitahesabiwa mpaka madeni yako yawe yamelipwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile Bima huwa haina mahusiano na mtu kukimbia mkopo, ile Bima inatumika kwenye matukio ambayo yapo nje ya uwezo wa binadamu mfano kifo, ugonjwa wa kukuondoa kazini n.k.

Baada ya kusema hayo, nakushauri mkuu mambo mengine huwa ni maamuzi tu, ukiamua, unatekeleza... Ukijiuliza maswali mengi utabaki hapo hapo
Huwa wanapiga piga simu kukukumbusha uwalipe ila hakuna wakukufuata labda ujipeleke isitoshe mkopo una bima so hiyo ndo hasara inayotakiwa kufidiwa na bima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom