Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazoezi tena apandishe mapigo ya moyo?Huwezi kuacha dawa until umeanza method nyingine za kukusaidia.
1.Punguza matumizi ya chumvi au acha until urecover
2.Kama weight yako ni kubwa itabidi upunguze up to normal range ( body mass index)
3.Fanya mazoezi regular kwa wiki Mara tatu au nne kwa 45 min ...inaweza kuwa simple jogging ( sio magumu ya kukosa hewa)
4.zidisha matunda na mbogamboga kwa wingi .kula spiecies zote muhimu Kwa wingi Kama mdalasini, kitunguu swaumu ,FLAX SEED etc
5 .piga chini junk foods like chips and processing foods .
Zingatia hayo kwa makini
Mkuu vip ushapona..ushaacha kutumia dawa za mapigo ya moyoSawa nakucheki
Vip dawa unaifahamu nzuri utusaidie na sie?Mkuu vip ushapona..ushaacha kutumia dawa za mapigo ya moyo
Mkuu nina uzito wa kilo 58kg nina normal BMI kabisa
Zinaponyesha?EF ipo normal 71% punguza Chumvi na Mafuta, afu Kuna dawa za kienyeji za Moyo wahaya wanazo sana
SaaaaaaaanaZinaponyesha?
Si useme ukweli usaidiwe...mgonjwa hapo ni mzazi wako tena mstaafu,.. writing from experienceDuuh na umri wangu 24 years sasa ntameza hadi lini bora hata ningekua na 35 kwa kweli
una uzito mkubwa? msongo wa mawazo je? vyakula unavyokula ni vipi?Mimi nashida kama yako nimepima sana moyo echo esg lakini naambiwa Niko fiti lakini mwili unachoka natetemeka sana mikono na miguu na kizunguzungu sana kichwa kuuma mwili kuchoka wasiwasi hofu tunaombeni ushauri jamani mtu saidie hospital tumechoka kupima Kila siku
Mkuu master besheni inaweza kusababisha moyo kwenda mbio na mwili kuchoka kizunguzungu presha kupandaUmejitahidi kuelezea vizuri ila
1.unajuaje kama hapo unapovuta source yake ni moyo
Unapata maumivu upande wa kushoto wa kifua? Na je kifuani pekee au na sehemu zingine za mwili mf bega na mkono
Isije kuwa unachanganya maumivu ya kiungulia(heart burn) na maumivu yanayotokana na kupungua kwa oksijeni kwenye misuli ya moyo(angina)
2.kwa vipimo ulivyofanya ECG imesema abnormal ECG
Haijatoa detail za kila phase ya mzunguko wa umeme kwenye moyo wako
Hii taarifa ni muhimu ukizingatia ndo kipimo ambacho kimeonesha tatizo ni nini
Ushauri
Bado swala lako linahitaji kufanyia more evaluation kwasababu visababishi vya tachycardia(mapigo ya moyo kwenda kasi tofauti na kawaida) ni vingi ikiwemo
Matatizo kwenye tezi muhimu za mwili
Mf thyroid,adrenaline
Stress&anxiety
Jitahidi uonane na mtaalamu wa maswala ya moyo(cardiologist) kama tayari ushamuona mtaalam wa magonjwa ya ndani (physician)
Mkuu vip saivi Hali yako ya sasaDuh ilikuaje mkuu au nae aliacha kutumia dawa ?