XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Wakuu, mimi nasumbuliwa na Left ventricular hypertrophy, imesababishwa na high blood pressure.. kwa muda sasa natumia propranolol na kwa kiasi chake imenisaidia kupunguza symptoms. Swali langu ni je, huu ugonjwa wa moyo unapona na kama ndio, unachukua muda gani kupona ?