Nawezaje kuacha kutumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo

Nawezaje kuacha kutumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo

Unapunguza dozi,kama ulikuwa unakunywa mara mbili kwa cku,unaanza kunywa kimoja,unakunywa mwezi mzima, baada ya hapo unakunywa nusu kdonge,unapiga mwezi tna. Then unakunywa tna robo kidonge, mwez mzima,then unaacha. Hautajickia vbaya
 
duu pole mkuu ulaji wa kitunguu swaumu hushusha presha kama ni presha ya kupanda,

una uzito kiasi gani? maozezi umeacha?

ulishawahi kunywa energy drinks? kahawa au vinywaji vya kafeini vipi?

nina wasiwasi hata wanawake huwafikirii kutokana na tatizo ulilonazo....
 
Huwezi acha. You are in forever. Huo ni ugonjwa sugu. Sio malaria utakunywa dawa upone.
Jiandae kunywa hizi dawa maisha yako yote.
hapana sio ugonjwa sugu wala hata psychotherapy inatibu vitu vya namna hii
 
Huwezi kuacha dawa until umeanza method nyingine za kukusaidia.
1.Punguza matumizi ya chumvi au acha until urecover
2.Kama weight yako ni kubwa itabidi upunguze up to normal range ( body mass index)
3.Fanya mazoezi regular kwa wiki Mara tatu au nne kwa 45 min ...inaweza kuwa simple jogging ( sio magumu ya kukosa hewa)
4.zidisha matunda na mbogamboga kwa wingi .kula spiecies zote muhimu Kwa wingi Kama mdalasini, kitunguu swaumu ,FLAX SEED etc
5 .piga chini junk foods like chips and processing foods .
Zingatia hayo kwa makini
zingatia
 
Kuna kitu sijaona majibu yake hapo kutokana na tatizo lako 1.BMI, 2.BP 3.Mapigo ya moyo na 4.Vipimo vya sukari ,pia muhimu kuacha vifutavyo kwa sasa,Chumvi,Pombe,Sigara, au kilevi chochote kile,Hasira ,vinyongo-kutosamehe watu,vitu vya mafuta,junk foods,vitu vya sukari nyingi kama soda na chocolate.Ukiweza kumudu hivyo kwa mwezi mzima nenda kacheki tena vipimo vyako.Hiyo Nebivolol unayotumia umesema ni nusu kidonge bado ni dose ndogo sana ingawa sijajua unatumia za miligram ngapi,kama ni za 5 mg,bado ni dose ndogo.Kwenye swala la kuacha pia huwezi kuziacha haraka ki hivyo utatakiwa kuziacha kidogo kidogo sana.Kama utaona vipimo vyako vyote viko normal na bado tatizo linaendelea mgeukie Mungu ufanyiwe maombi,wakati mwingine inaweza kuwa ni maroho yamekuvamia ndio yanayokutesa...
zingatia
 
Alikuambia hivyo?

Ndio kumbe tatizo mapafu nikaenda hospital nyingine nilikuwa nashindwa pumua na mim na moyo kwenda mbio
Nikaambiwa mapigo ya moyo hayapo sawa nikapewa dawa za kupangilia mapigo ya moyo nilikunywa weee siponiii dawa za kuyeyusha damu wapi

Hospital nyingine nikakutwa shida mapafu nikapewa ibrufen za siku tano nikapona
 
duu
 
Pole sana hebu nipm tuongee maana nakupm inagoma
 
duu pole mkuu ulaji wa kitunguu swaumu hushusha presha kama ni presha ya kupanda,

una uzito kiasi gani? maozezi umeacha?

ulishawahi kunywa energy drinks? kahawa au vinywaji vya kafeini vipi?

nina wasiwasi hata wanawake huwafikirii kutokana na tatizo ulilonazo....
Mkuu nina uzito wa kilo 58kg nina normal BMI kabisa. Kuhusu energy sijawah kutumia kabisa pia kwa sasa natumia propranolol ila nimepima tena nimeamkutuma moyo upo vizur
 
Hapa ndio pana diagnosis ya tatizo la mtoa mada,mtoa mada mwenyewe yupo hai ?

Ndugu mtoa mada tunakuomba kama upo uje hapa utupe mrejesho
Mkuu nipo kwa sasa natumia propranolol maana daktari ameaniambia nina anxiety disorder. pia nilipima vipimo upya vya ECHO na ECG, kwa ECHO kipimo kimesoma Normal echo na ECG pia kimeandika normal sinus rythm japo kuna high voltage kwenye left ventricular so ECG Result analysis ni Borderline Abnomal
 
Back
Top Bottom