Nawezaje kuacha kutumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo

Mazoezi tena apandishe mapigo ya moyo?
 
Kaka hbr nimepata shida Kama yako aisee naomba unisaidie namba au nibp 0752468231 Kuna vtu nataman kukuuliza
 
Mkuu nina uzito wa kilo 58kg nina normal BMI kabisa

Kilo 58 ni Uzito mdogo sana kwa kijana wa kiume wa miaka 24 unatakiwa wakau 68 kilo.

Madhara yake unakosa misuli ya kutosha ikiwemo misuli ya viungo muhimu kama moyo.

Hii inapelekea moyo kujaribu kufanya kazi yake kwa ziada zaidi na kusababisha heart conditions.

Ulaji wa chakula bora kilicho na virutubisho vyenye afya inatakiwa. Maana unaweza kuonekana kimbau mbau lakini umejaa mafuta badala ya misuli na haya mafuta yanamadhara katika mishapa ya damu na moyo.

Pamoja na kumuona daktari pia umuone mtaalamu wa lishe nutritionist akushauri upande wa lishe.
 
We umerogwa fanya mpango uende kupata maji na futa...halafu utajisaidia mjusi halafu utapona.... πŸ€‘πŸ€‘πŸ˜πŸ˜πŸ₯ΆπŸ₯ΆπŸ€―πŸ’˜πŸ€‘πŸ¦»πŸ¦»
 
Usijaribu kuacha bila utaratibu maalumu, utapata stroke ama utakufa
 
una uzito mkubwa? msongo wa mawazo je? vyakula unavyokula ni vipi?
 
Mkuu master besheni inaweza kusababisha moyo kwenda mbio na mwili kuchoka kizunguzungu presha kupanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…