Nawezaje kuacha uvivu?

Kwa nini usiweke hayo maelekezo hapa jukwaani? Acha utapeli
 
Mnaonaga sifa kusoma mawazo na vitabu vilivyoandikwa na wanaume wengine?

Kwanini usipambanue fikra zako binafsi?
Unaamka asubuhi unapiga mswaki uliotengenezwa na wanaume wengine, unavaa nguo zimetengenezwa na wanaume wengine, hata iyo simu unayotumia kujionesha jinsi ulivyo na fikra duni wametengeneza wanaume wengine. Huna hata kimoja unachotumia ulichotengeneza wewe na hakuna anayekulaumu wala kukuambia unaona sifa kutumia bidhaa walizotengeneza wanaume wengine.
Pathetic.
 
Hata mje na gia namba ngapi hamuwezi nipata!!
Utapeli wa kitoto sana jaribuni ku u update
 
Hahaha mkuu jipu
 
Hii ni kweli
 
Unafaa kuwa mke kabisa. Wife material huwa wapogo namna hii.
wa kiume
 
Ni kweli kabisa. Hii huwa inanigharimu kwenye kurundika nguo chafu....... Huwa inafika hatua najikuta nimechafua nguo zote.... Shughuli pevu kwenye kuzifua..... Sasa hivi kila baada ya siku mbili lazima nizame Laundry baada ya saa za kazi
 
Unafaa kuwa mke kabisa. Wife material huwa wapogo namna hii.
Kwa nini unataka kuuacha uvivu? Tuanzie hapo kwanza.
kiongoz kwanini uko hivyo
 
Mimi kazini ni mvivu lkn deadlines huwa hazinipiti asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…