Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Puri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini usiweke hayo maelekezo hapa jukwaani? Acha utapeliSamahanini nipo nje ya mada ila hilo ni jambo zuri pia
KAMA UNATUMIA TIGO BORA UTOE 40K ILA UOKOE HELA UNAZONUNUA DATA&DK KWA MIAKA 2 (GB48 KILA MWEZ+DK 2000)*
Watumiaji wa tigo njoo nikuunge huduma hii uwe unapewa gb 48 na dk 2000 kila mwezi kwa miaka miwili, huduma hii sahivi unaungwa pekeyako na sio kikundi.
Uhakika na usalama wapesa yako ni 100% mana hela unailipa direct Tigo kama unavyojiunga na vifurushi vingine, mm nakupa maelekezo tu ya kujiunga, ( ukijiunga nalipwa na tigo ).
kama ukitaka kujiridhisha nikishakupa maelekezo unaweza kupiga 100 uulizie ujiridhishe kabla ya kulipia.
PIA KUNA GB35+1000DK KILA MWEZ KWA 30K, MUWE WATU WAWILI.
HUNITUMII HELA YOYOTE HATA MIA!
Karibu hata uniulizie tu nikupe maelekezo bure!
KAMA UKITAKA TUKUTANE TUFANYE KAZI LIVE PIA INAWEZAKANA
NITEXT WHATSAPP
0717700921
Acha punyeto mkuu. Chukua hatua za harakaNawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
Nyie ndio wale watanzania mnaotutesa maofisini mkitupiga danadana na kalenda za leo kesho!Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
Unaamka asubuhi unapiga mswaki uliotengenezwa na wanaume wengine, unavaa nguo zimetengenezwa na wanaume wengine, hata iyo simu unayotumia kujionesha jinsi ulivyo na fikra duni wametengeneza wanaume wengine. Huna hata kimoja unachotumia ulichotengeneza wewe na hakuna anayekulaumu wala kukuambia unaona sifa kutumia bidhaa walizotengeneza wanaume wengine.Mnaonaga sifa kusoma mawazo na vitabu vilivyoandikwa na wanaume wengine?
Kwanini usipambanue fikra zako binafsi?
Hata mje na gia namba ngapi hamuwezi nipata!!Samahanini nipo nje ya mada ila hilo ni jambo zuri pia
KAMA UNATUMIA TIGO BORA UTOE 40K ILA UOKOE HELA UNAZONUNUA DATA&DK KWA MIAKA 2 (GB48 KILA MWEZ+DK 2000)*
Watumiaji wa tigo njoo nikuunge huduma hii uwe unapewa gb 48 na dk 2000 kila mwezi kwa miaka miwili, huduma hii sahivi unaungwa pekeyako na sio kikundi.
Uhakika na usalama wapesa yako ni 100% mana hela unailipa direct Tigo kama unavyojiunga na vifurushi vingine, mm nakupa maelekezo tu ya kujiunga, ( ukijiunga nalipwa na tigo ).
kama ukitaka kujiridhisha nikishakupa maelekezo unaweza kupiga 100 uulizie ujiridhishe kabla ya kulipia.
PIA KUNA GB35+1000DK KILA MWEZ KWA 30K, MUWE WATU WAWILI.
HUNITUMII HELA YOYOTE HATA MIA!
Karibu hata uniulizie tu nikupe maelekezo bure!
KAMA UKITAKA TUKUTANE TUFANYE KAZI LIVE PIA INAWEZAKANA
NITEXT WHATSAPP
0717700921
Hahaha mkuu jipuUnaamka asubuhi unapiga mswaki uliotengenezwa na wanaume wengine, unavaa nguo zimetengenezwa na wanaume wengine, hata iyo simu unayotumia kujionesha jinsi ulivyo na fikra duni wametengeneza wanaume wengine. Huna hata kimoja unachotumia ulichotengeneza wewe na hakuna anayekulaumu wala kukuambia unaona sifa kutumia bidhaa walizotengeneza wanaume wengine.
Pathetic.
Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
Hii ni kweliTuko pamoja mkuu
Binafsi ni mvivu wa majukumu ya kazini na shughuli zingine
Kwa sababu mwisho wa siku lazima kazi zifanyike nimejiwekea utaratibu wa kutolaza kazi
Kauli ya nitafanya badae itoe kwenye ratiba yako,hata kazi ikiwa ndogo namna gani usisubiri kesho
Unavyoziacha ndogo ndogo zinaongezeka na kuwa nyingi
SijaelewaKama ni mwanaume ukiendelea hivyo utaishia kuwa Papai
Kwanza elewa sababu za kuwa mvivu kwenye majukumu yako ya kila siku.
Hapo inaweza kuwa
1.Hupendi unachofanya
(Kama hupendi unachofanya basi anza taratibu kubadili hicho unachofanya na kutafuta kitu unachokipenda zaidi na ukifanye na achana na hicho unachofanya sasa)
2.Au una hali ya kughairisha kazi au majukumu.
(Hii kuiondoa unatakiwa ujitathimini jievaluate kila siku kabla ya kulala chukua peni na karatasi then andika kila lisaa tokaa umeamka umefanya nini then angali ulifanya kazi yaani productivity kwa muda gani na muda gani ulipoteza anzia hapo kubadilika hofia feature
wa kiumeUnafaa kuwa mke kabisa. Wife material huwa wapogo namna hii.
sawa mkuuHahaha mkuu jipu
ndo maana nimeomba msaada mkuuSijaelewa
sina majibu mkuuHahaha mkuu jipu
Ni kweli kabisa. Hii huwa inanigharimu kwenye kurundika nguo chafu....... Huwa inafika hatua najikuta nimechafua nguo zote.... Shughuli pevu kwenye kuzifua..... Sasa hivi kila baada ya siku mbili lazima nizame Laundry baada ya saa za kaziTuko pamoja mkuu
Binafsi ni mvivu wa majukumu ya kazini na shughuli zingine
Kwa sababu mwisho wa siku lazima kazi zifanyike nimejiwekea utaratibu wa kutolaza kazi
Kauli ya nitafanya badae itoe kwenye ratiba yako,hata kazi ikiwa ndogo namna gani usisubiri kesho
Unavyoziacha ndogo ndogo zinaongezeka na kuwa nyingi
Unaamka asubuhi unapiga mswaki uliotengenezwa na wanaume wengine, unavaa nguo zimetengenezwa na wanaume wengine, hata iyo simu unayotumia kujionesha jinsi ulivyo na fikra duni wametengeneza wanaume wengine. Huna hata kimoja unachotumia ulichotengeneza wewe na hakuna anayekulaumu wala kukuambia unaona sifa kutumia bidhaa walizotengeneza wanaume wengine.
Unafaa kuwa mke kabisa. Wife material huwa wapogo namna hii.
kiongoz kwanini uko hivyoKwa nini unataka kuuacha uvivu? Tuanzie hapo kwanza.
Kwanini uache?Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
Nakazia, asiwe mtu wa kubadili badili ratiba bila sababu za msingi.Umesema vyema
Na kwa kuongezea kwenye kila kazi ajiwekee muda wa kuanza na kumaliza hiyo kazi
Na ashikamane na hiyo ratiba
Mwanzo mgumu ila asikate tamaa