Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Away ndio wale mnabaki kuchezea mabanzi ndani we nimejitunza alafu unipe shidaUlitakiwa uachane naye Ile siku aliyokuomba akuingilie kinyume.....
Sasa mkiachana unataka ukawe na Nani? Yaani mkaka wa watu ajitunze, hajui na hajawahi Kula kisamvu ndo unataka ukaanze nae mahusiano halafu umfundishe tabia mbaya🤣🤣🤣 Inauma.
Waliosema mabinti tujitunze hawakuwa wajinga kumbe.
Nenda dawati la jinsia.Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia...
Ashitaki na wakati alikubariPole sana...
Mshitaki huyo kuwa anakulazikisha kufanya na anakutisha kuonyesha picha zako za utupu..
Omba Toba na Rehema kwa Mungu kwa ajili yako na kizazi chako...
Pambana naye "kiume"!Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.
Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.
Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.
Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu. Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu.
Shida inakuja hivi, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana. Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha, atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.
Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo (hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo).
Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume? Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
Kizazi cha sodoma na gomora kinawadia. Fedheha kubwa sana hii.Ulitakiwa uachane naye Ile siku aliyokuomba akuingilie kinyume.....
Sasa mkiachana unataka ukawe na Nani? Yaani mkaka wa watu ajitunze, hajui na hajawahi Kula kisamvu ndo unataka ukaanze nae mahusiano halafu umfundishe tabia mbaya🤣🤣🤣 Inauma.
Waliosema mabinti tujitunze hawakuwa wajinga kumbe.
Mnywaniii miss you! Mpaka unaumwaa.At 66 years bado unahangaika na mapenzi! Bora ungetulia uzeeke vizuri tu mamangu!
Niko vyedi sana mnywanii miss you much more!!!Mnywaniii miss you! Mpaka naumwaa.
Unaendeleaje nyakibimbirii uko.
Karibu Sana itobo_mboka;tule matoborwa na maparage aise
Hii sio chai wala mma mkuu ni tangazo na nnauhakika mpaka muda huu huko Pm hapatoshiNi chai ama maji ya kunywa?
Huyu bibi anapenda kucheze miguu yote yani ni full bata majiMiaka 8 iliyopiga ulikuwa na miaka 55 hii Ina maana kuwa sahivi una miaka 63-64 Bibi embu nenda taratibu mbn tu naelewa tuView attachment 2815461
Sasa utapambana nae vp kiume wakati we ni mwanamke?!!!Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume? Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Maisha ni cycleHaya mambo ni magumu sana, Tatizo lipo hivi;
Anaweza akaachana na huyo mwanaume, then baada ya lets say mwaka mmoja, akapata mwanaume mwingine ambaye hajui A wala B kwamba mwenzake alikuwa na michezo ya kurukwa ukuta, mwanaume akatangaza ndoa akamuoa na kumfanya kuwa mwanamke wake wa heshima zote, shida inakuja huyu huyu bidada ambaye sasa hivi analalamika ubabe, ataanza kuwaza jamaa aliyemuoa hayuko romantic, mwishowe ataanza kurudi na kuchepuka kule kule kwa jamaa yake akazibuliwe tena mtaro, na kuanza kumdharau aliyemuoa, hawa wanawake aisee, wanaume wenzangu tuendelee kuishi nao kwa akili tu!
Hama mkoa kama shughuli zako zinaruhusu. Then kata mawasiliano nae. Jizoeze kufanya vitu vingine. Jitibu majeraha then uta move kivingine.Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia...